Mwanzo TV
-

Shahidi wa pili aeleza alivyotambua Jinai kwenye video ya Tundu Lissu
Shahidi wa kwanza alihitimisha ushahidi wake leo baada ya kuhojiwa kwa maswali ya nyongeza na jopo la mawakili wa Serikali
-

Lissu atumia saa 7 kumuhoji shahidi wa Jamhuri katika kesi ya uhaini
Katika mahojiano hayo, Lissu alitumia takribani saa saba kumuhoji Shahidi huyo kuanzia majira ya saa 3:30 mpaka saa 10, muda wote aliutumia kupima uhalali wa ushahidi wa shahidi huyo, akihusisha masuala mbalimbali kulinga na ushahidi…
-

Serikali ya Tanzania yakanusha ukandamizaji wa kisiasa wakati uchaguzi ukiakaribia
Akijibu ripoti iliyotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch (HRW), Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema madai hayo hayana msingi na yanapotosha hali halisi ya nchi.
-

Jane Goodall: Mwanamke aliyewapa Sokwe sauti na kuigusa dunia
Goodall, aliyebobea katika utafiti wa sokwe pori na baadaye kuwa mwanaharakati wa mazingira, alibadilisha mapenzi yake ya wanyamapori kuwa kampeni ya maisha yote. Safari yake ilimtoa kutoka kijiji cha pwani kusini mwa Uingereza hadi Afrika,…
-

Nchi sita zaitaka Madagascar kufanya mazungumzo na waandamanaji
Kisiwa hicho cha Bahari ya Hindi kilikuwa kinangoja uteuzi wa waziri mkuu mpya baada ya Rais Andry Rajoelina kuvunja baraza lake lote la mawaziri Jumatatu, hatua aliyochukua kutuliza maandamano yaliyoshika kasi tangu Septemba 25 kutokana…
-

Wanaharakati Kiduku na Farida waliokamatwa Dar waachiwa kwa dhamana
Wanaharakati wa mitandaoni, Innocent Paul Chuwa maarufu kama Kiduku, na Farida Mikoroti, waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya mtandao, wameachiwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati (Central Police) Dar es Salaam, Jumatano…
-

Waandamanaji wa Madagascar waendelea licha ya kufutwa kwa serikali
Waandamanaji nchini Madagascar wameitisha maandamano mapya leo Jumanne, siku moja baada ya Rais wa nchi hiyo Andry Rajoelina kuvunja serikali yake kwa lengo la kutuliza ghasia zilizosababisha vifo vya watu 22, kwa mujibu wa Umoja…
-

Lissu kumtumia Rais Samia kama shahidi katika kesi yake ya Uhaini
Miongoni mwa waliotajwa pia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camilius Wambura, Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai, na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa. Lissu pia amewataja viongozi wa kikanda wakiwemo Martha Karua, mwanasiasa na…









