Mwanzo TV
-

Kesi ya Lissu kuendelea Oktoba 6 kwa hatua ya ushahidi
Leo kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutolewa uamuzi mdogo kuhusu mapingamizi aliyowasilisha Lissu, ambapo alipinga uhalali wa hati ya mashtaka na pia akakosoa maelezo ya mashahidi akidai yameandikwa kinyume cha sheria.
-

Polepole: Wito wa Polisi una nia njema lakini pia una njama za kunipoteza
Katika kauli yake ya majibu kwa wito huo, Polepole amesema anauchukulia kwa sura mbili; upande wa kwanza akiwaona Polisi wana dhamira njema ya kusikiliza na kukusanya ushahidi, lakini upande wa pili akihisi kuna mbinu na…
-

Lissu awakataa Mawakili wa Serikali, “Mimi si mwenzao, mimi ni mshtakiwa wa uhaini”
Lissu alieleza kutoridhishwa kwake na namna Wakili wa Serikali alivyomtaja kama “mwenzetu”, akisisitiza kuwa hana uhusiano wowote na upande huo wa mashtaka.
-

Wafuasi wa CHADEMA wasusia kesi ya uhaini ya Tundu Lissu wakilalamikia manyanyaso ya Polisi
Tukio hilo limetokea leo asubuhi, wakati Lissu alipofikishwa mahakamani kwa ajili ya kuendelea kuwasilisha hoja za kupinga uhalali wa hati ya mashtaka dhidi yake. Hoja hizo alianza kuziwasilisha jana, Septemba 15, 2025.
-

Lissu: Hati ya mashtaka haina msingi wa kisheria
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, Lissu anatuhumiwa kwamba mnamo Aprili 3 alikusudia “kuchochea wananchi kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.” Hata hivyo, mwanasiasa huyo mashuhuri anasema kosa hilo haliingii kwenye wigo wa makosa ya…
-

Lissu: “Siombi huruma, naomba haki kwa mujibu wa sheria”
“Kupata huruma unaponewa si kosa, lakini jambo muhimu zaidi ni kupata haki. Siwaombi Waheshimiwa Majaji mnipe haki kwa sababu ya huruma, bali kwa mujibu wa viapo vyenu na kwa mujibu wa sheria,”
-

Lissu kurudishwa Mahakamani tena kesho
Shauri hilo lilitajwa leo kwa ajili ya kuendelea na usikilizwaji wa hoja za pingamizi zilizowasilishwa na Lissu, ambapo upande wa Jamhuri ulikuwa unakamilisha uwasilishaji wake kabla ya Lissu, anayejitetea mwenyewe, kujibu hoja hizo.
-

Lissu Vs Jamhuri ngoma bado nzito, atumia saa nne kuwasilisha hoja za pingamizi
Katika uwasilishaji wa hoja zake hii leo Lissu alitoa hoja nzito akieleza kuwepo kwa tofauti kubwa kati ya rekodi mbili za kesi zinazotoka kwenye Mahakama tofauti moja kutoka Mahakama ya Kisutu ambayo nakala yake alipelekewa…
-

Tundu Lissu akataa Mahakama kumteulia Wakili, asema atajitetea mwenyewe kwenye Kesi ya Uhaini
Lissu alitoa kauli hiyo leo mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, akifafanua kuwa uamuzi huo umetokana na uzito wa kesi hiyo, ambayo endapo atapatikana na…
-

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kuanza kuunguruma Mahakama Kuu ya Tanzania Septemba 12
Ikumbukwe Agosti 18, 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilibainisha kuwa kesi hiyo inakwenda Mahakama Kuu baada ya hatua za Kisheria kukamilika.







