Mwanzo TV
-

Besigye asusia kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili, ataka Jaji wa kesi hiyo ajiondoe
Besigye, mwenye umri wa miaka 69, ni mpinzani mkuu wa Rais Yoweri Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa karibu miaka 40 na amewahi kushindana naye bila mafanikio katika chaguzi nne.
-

Wasira:Tusahau mchakato wa uchaguzi, sasa tuungane kusaka dola
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na…
-

Kikwete amjibu Polepole kuhusu utaratibu wa CCM: “Hakuna jambo jipya, utaratibu umeheshimiwa”
“Najua kulikuwepo na maneno au vijineno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema pale kwenye mkutano mkuu, lakini nasema waliokuwa wanasema hayo ama hawafahamu utaratibu wa chama chetu na kama wanafahamu labda wamesahau…
-

Uchaguzi Mkuu bila uwepo wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania
Moja ya madai makuu ya CHADEMA ni mageuzi ya kisheria na mchakato wa uchaguzi, ambapo wanataka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) irekebishe taratibu za uteuzi na usajili wa wagombea ili vyama vyote viwe…
-

Kampeni za urais Tanzania kuanza rasmi huku mgombea wa ACT Wazalendo akizuiwa kugombea
Kwa mujibu wa INEC, jumla ya vyama 18 vilivyosajiliwa vitashiriki uchaguzi huu, na wagombea 17 wa urais watashiriki kinyang’anyiro
-

Mwabukusi awasilisha kesi ya Tundu Lissu kwa Rais Samia
Ahadi hiyo imetolewa jana katika mazungumzo yake na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, yaliyofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
-

ACT Wazalendo yapinga uamuzi wa Msajili wa Vyama kuhusu mgombea wake wa urais
Katika taarifa yake kwa umma, chama hicho kimeeleza kuwa hatua ya Msajili haina mashiko ya kisheria kwa kuwa mchakato wa uchaguzi tayari umeshaanza, huku Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikiwagawia wagombea fomu za…
-

ACHPR yaikosoa Tanzania kwa ukiukaji wa haki za binadamu kuelekea uchaguzi wa 2025
Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR) imeitolea wito Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha inalinda, inaheshimu na inatekeleza kwa dhati viwango vya haki za binadamu kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa…
-

Job Ndugai: Spika aliyekuwa na kauli kali na mwenye mizizi ya kisiasa Tanzania
Kipindi cha uongozi wake kama Spika kiligubikwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani waliomtuhumu kwa upendeleo, kufungia wabunge waliokuwa wakikosoa serikali, pamoja na kuziba mijadala mizito ndani ya Bunge.
-

Panga la Wajumbe: Vigogo wa CCM waangukia pua kura za maoni
Ingawa majina ya mwisho ya wagombea yataamuliwa na ngazi za juu za chama hicho, matokeo ya sasa yameweka uelekeo wa wazi kuwa sehemu kubwa ya wanachama wameonyesha hamu ya kuona sura mpya zikipewa nafasi ya…







