Mwanzo TV
-

Polisi Tanzania: Wengi wanaoripotiwa kutekwa hujificha kwa sababu binafsi
Katika taarifa iliyotolewa leo Jumatano tarehe 18 Juni 2025, ambayo imeeleza baadhi ya matukio hayo, polisi wamesema uchunguzi wa kina umebaini kuwa watu wengi waliodaiwa kutekwa ama walikuwa wamejificha kwa hiari, walitoroka kutokana na sababu…
-
Siku 68 za Lissu gerezani, aeleza masaibu anayopitia
Licha ya kutohukumiwa, Lissu amedai amekuwa akishikiliwa kwenye eneo maalum la wafungwa wanaosubiri kunyongwa (death row) ndani ya Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
-

Lissu ajiwakilisha mwenyewe Mahakamani baada ya kunyimwa haki ya kuonana na Mawakili wake Gerezani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameieleza Mahakama ya Kisutu kuwa ameamua kujiwakilisha mwenyewe katika shauri la uhaini yanayomkabili, akidai kunyimwa haki ya kuonana kwa faragha na mawakili wake tangu alipowekwa…
-

Chadema yatakiwa kusimamisha shughuli zake kwa siku 14
Zuio hilo linatokana na kesi namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa na wenzake wawili ambayo imetolewa uamuzi leo na Jaji Hamidu Mwanga.
-

Chadema, Msajili bado vuta nikuvute, wapeleka kesi Mahakamani
Kwa mujibu wa CHADEMA, Msajili wa Vyama vya Siasa amekiuka Katiba kwa kudai kuwa uteuzi wa viongozi wa CHADEMA una dosari za kikatiba, akitaka nafasi hizo kujazwa upya huku akipuuzia mamlaka halali ya vikao vya…
-

The Chanzo yaondoa maudhui ya Askofu Gwajima kufuatia wito wa TCRA
Katika video hiyo, Askofu Gwajima, ambaye pia ni kiongozi wa dini, alizungumza na wanahabari tarehe 24 Mei, 2025, akitoa maoni kuhusu mfululizo wa matukio ya utekaji yanayodaiwa kutokea nchini Tanzania. Maudhui hayo yalichapishwa kwenye chaneli…
-

Uganda yasitisha ushirikiano wa Kijeshi na Ujerumani kwa tuhuma za Uhaini
Jeshi la Uganda (UPDF) limetangaza kusitisha mara moja ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani, likimtuhumu Balozi wa Ujerumani nchini humo, Matthias Schauer, kwa kuendesha “shughuli za kihaini” ndani ya taifa hilo la Afrika Mashariki.









