Mwanzo TV
-

Lissu alalamikia matumizi mabaya ya Mahakama, achoshwa na ahirisho la mara kwa mara
Katika kesi hiyo iliyopo mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga , Lissu amedai kwamba kuendelea kwa hatua za kuahirisha kusomwa kwa shauri hilo ni dhihirisho la namna vyombo vya…
-

Jaji agoma kujitoa katika kesi ya mgogoro wa mali za Chadema
Jaji Mwanga amekuwa akisimamia kesi hiyo tangu ilipotajwa kwa mara ya kwanza mnamo Aprili 17, 2025. Hata hivyo, Juni 23 mwaka huu, walalamikaji walimuandikia barua ya kumtaka ajitoe katika kesi hiyo, wakidai upendeleo na mgongano…
-

Gambia yatangaza mlipuko wa ugonjwa wa mpox
Gambia imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa mpox siku ya Jumanne baada ya kugunduliwa kwa kisa kimoja kupitia mfumo wa kawaida wa ufuatiliaji wa magonjwa, huku nchi kadhaa jirani zikiripoti ongezeko la maambukizi hivi karibuni.
-

Je, Mbowe anaandika ukurasa mpya kisiasa au anaufunga kabisa?
Wakati wengi walitarajia angerejea katika ulingo wa kisiasa kwa mtindo mpya, Mbowe amebaki kivuli cha kile kilichowahi kuwa sauti kali ya upinzani Tanzania.
-

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yapigwa kalenda tena, amlalamikia DPP kwa danadana
Kesi hiyo ilitajwa leo, Julai 15, 2025, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo Lissu alionesha wazi kutoridhishwa na hatua hiyo, akidai kuwa upande wa Jamhuri unatumia hila kuchelewesha mchakato wa haki.
-

Rais wa Cameroon Paul Biya kutafuta muhula wa nane wa Urais
Rais wa Cameroon, Paul Biya, ametangaza Jumapili kwamba atagombea tena urais kwa muhula wa nane katika uchaguzi wa Oktoba, hatua itakayoongeza utawala wake ambao umedumu kwa takriban miaka 43.
-

CCM yavuna bilioni 2.7 kutokana na ada za fomu za ubunge na udiwani
Makalla amesema hadi kufikia jana, Julai 2, 2025, zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu ndani ya chama lilikuwa limekamilika ambapo jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi…










