Mwanzo TV
-

Kiongozi wa Upinzani Ivory Coast, Tidjane Thiam,aondolewa kwenye nafasi ya kugombea Urais
Thiam, ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa kiongozi wa chama cha Democratic Party of Ivory Coast (PDCI), ameondolewa kwa madai kuwa alipoteza uraia wa Ivory Coast baada ya kupata uraia wa Ufaransa mwaka 1987.
-

Majaliwa atoa maagizo kwa TANROADS kuhusu ukarabati wa madaraja
Ametoa agizo hilo leo Jumatano (Aprili 16, 2025) alipokagua maendeleo ya ukarabati wa madaraja katika maeneo ya Matandu na Somanga Mtama, Wilaya Kilwa Mkoani Lindi kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam – Lindi yaliyokuwa…
-

Amnesty International yaitaka Tanzania kumwachilia huru kiongozi wa upinzani Tundu Lissu
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limeitaka serikali ya Tanzania kumwachilia mara moja na bila masharti yoyote kiongozi wa chama cha upinzani Chadema, Tundu Lissu, aliyekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini.
-

Lissu afikishwa Mahakamani kwa Kesi ya Uhaini, Mikutano ya CHADEMA yasitishwa
Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara. Usiku huo huo alisafirishwa kwa magari hadi Dar es Salaam na kufikishwa katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central),…
-

ACT Wazalendo yaja na hoja sita kabla ya Uchaguzi Mkuu
Hoja hizo ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha kunakuwa na uchaguzi huru na haki wakati huu ambapo Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025
-

Wapiganaji wa M23 wachukua mji muhimu wa Walikale nchini DRC licha ya jaribio la kusitisha vita
Kuchukuliwa kwa mji wa Walikale wenye wakazi takriban 60,000 mwishoni mwa siku ya Jumatano kunashiria kwamba kundi hili la wapiganaji limefika sehemu ya mbali kabisa magharibi kutoka eneo lao la awali tangu lilipojitokeza mwaka 2012.
-

HRW:Kenya inapaswa kuchunguza miili iliyotupwa kwenye mgodi
Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeiomba Serikali ya Kenya kumaliza uchunguzi kuhusu miili iliyoharibiwa iliyopatikana kwenye mgodi mwaka jana, na kushughulikia madai kwamba polisi walizuia juhudi za kuchukua miili hiyo.










