Mwanzo TV

  • Mgogoro wa DRC unaendelea huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa amani

    Mgogoro wa DRC unaendelea huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa amani

    Kundi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda liliongeza mashambulizi yake siku ya Alhamisi kupitia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na linaonekana kuwa na nia ya kuchukua mji muhimu, huku Katibu Mkuu wa…

  • Watu 80 wauawa kutokana na vurugu Kusini mwa Sudan: UN

    Watu 80 wauawa kutokana na vurugu Kusini mwa Sudan: UN

    Mapigano yaliyoibuka tena wiki iliyopita yalitokea katika majimbo ya South Kordofan na Blue Nile kati ya jeshi la Sudan na kundi la Sudan People’s Liberation Movement-North (SPLM-N) linaloongozwa na Abdel Aziz al-Hilu.

  • Kesi ya waislamu kupinga mamlaka ya BAKWATA kuendelea leo

    Kesi ya waislamu kupinga mamlaka ya BAKWATA kuendelea leo

    Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda, pamoja na viongozi wengine 11 wa Kiislam, ndio waliofungua kesi hiyo ya kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakipinga mamlaka…

  • Kesi ya Dk Slaa kutajwa leo katika Mahakama ya Kisutu

    Kesi ya Dk Slaa kutajwa leo katika Mahakama ya Kisutu

    Hii leo inatajwa kwa ajili ya kuangaliwa iwapo upelelezi wa kesi umekamilika, ingawa imefungwa mikono kuendelea na hatua zaidi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini kuwasilisha kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani kupinga…

  • Miaka 48 ya CCM, yaendelea kushika dola

    Miaka 48 ya CCM, yaendelea kushika dola

    Chama tawala nchini Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) leo kinaadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake huku kikijivunia kuendelea kushikilia dola nchini humo.

  • Injini za Airbus A220-300 zasababisha hasara ya bilioni 127 kila mwaka

    Injini za Airbus A220-300 zasababisha hasara ya bilioni 127 kila mwaka

    Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za Airbus A220-300 ambazo zimekuwa zinapata hitilafu mara kwa mara, yanasababisha kukosa mapato wastani wa Sh. bilioni 127.3 kwa mwaka.

  • Mwabukusi:TLS haijalamba asali, tutakosoa pale inapobidi

    Mwabukusi:TLS haijalamba asali, tutakosoa pale inapobidi

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwambukusi, amesema kuwa TLS siyo kikundi cha kigaidi bali ni taasisi halali inayofanya kazi kwa mujibu wa sheria, ikiwa na haki ya kuishauri, kupongeza, na hata kuikosoa…

  • Rais wa Burundi atahadharisha vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC

    Rais wa Burundi atahadharisha vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC

    Rais wa Burundi atoa onyo kuhusu vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC akisema kuwa vita hivyo vinaweza kusababisha vita vya kikanda.

  • SADC yatangaza mshikamano na DRC

    SADC yatangaza mshikamano na DRC

    Mkutano huo ulifanyika baada ya wanajeshi 16 kutoka Afrika Kusini na Malawi, pia wanachama wa SADC, kuuawa katika mapigano ya karibuni karibu na Goma, ambako walikuwa wamepelekwa kama sehemu ya juhudi za kudumisha amani.

  • Hivi ndivyo Mwanaharakati Maria Sarungi alivyotekwa nchini Kenya

    Hivi ndivyo Mwanaharakati Maria Sarungi alivyotekwa nchini Kenya

    Hii si mara ya kwanza Maria kufatiliwa na watu wanaodaiwa kuwa ni watekaji ambapo wote waliojaribu kumteka wanahusishwa na mamlaka.