Mwanzo TV
-

Mbowe kumfikisha Mahakamani Peter Msigwa, ampa siku tano kumuomba radhi
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Freeman Mbowe ametangaza kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa na Mbunge wa zamani wa chama hicho ambaye sasa ni kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa…
-

Kesi ya afande anayedaiwa kutuma vijana kumbaka binti mkazi wa Yombo kuunguruma leo
Kesi ya afande anayedaiwa kuwatuma vijana kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam, Fatma Kigondo inakuja leo baada ya mahakama kutoa hati ya wito kwa…
-

Mwanariadha wa Uganda Cheptegei afariki baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake
Mwanamichezo wa Uganda, Rebecca Cheptegei, amefariki nchini Kenya siku nne baada ya kuteketezwa kwa moto na mpenzi wake, taarifa kutoka kwa maafisa wa michezo wa Uganda zilisema leo Alhamisi.
-

Miaka saba tangu Lissu ashambuliwe kwa risasi, bado watuhumiwa hawajashikiliwa
Miaka saba imepita tangu Tundu Lissu, mwanasiasa na kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, aliposhambuliwa kwa risasi mnamo tarehe 7 Septemba 2017. Tukio hili lilileta mshtuko mkubwa siyo tu kwa watanzania bali pia kwa jamii ya…
-

Chadema wapinga wananchi wa Ngorongoro kuondolewa kwenye ardhi yao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimepinga amri ya Serikali iliyochapishwa kwenye Gazeti la Serikali namba 673 la tarehe 02 Agosti, 2024, ambapo kwa mujibu wa chapisho hilo imewaondoa wananchi wote wa Tarafa ya Ngorongoro kwenye…
-

Kesi ya binti aliyebakwa yamng’oa RPC Dodoma, ni baada ya kudai aliyebakwa ni kama “Kahaba”
Uhamisho wa RPC Mallya umekuja saa chache baada ya kauli yake juu ya binti aleyebakwa na kulawitiwa na vijana watano wanaodaiwa kutumwa na afande kufanya tukio hilo.
-

Marekani yashtushwa na ghasia za polisi wa Tanzania, kukamatwa kwa upinzani
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umesema umeshtushwa” na ripoti kwamba polisi wa Tanzania walitumia nguvu kupita kiasi walipowakusanya wanachama kadhaa wa upinzani kutokana na maandamano ya vijana yaliyopigwa marufuku wiki hii.
-

Mpox yatangazwa kuwa ni dharura ya kiafya Afrika
Mlipuko huo umeenea katika nchi kadhaa za Kiafrika, haswa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo virusi vilivyoitwa Mpox au Homa ya Nyani viligunduliwa kwa mara ya kwanza kwa wanadamu mnamo 1970.









