Mwanzo TV
-

Polisi wadaiwa kutumia nguvu ukamatwaji wa viongozi wa Chadema na wafuasi wake.
Kwa mujibu wa Naibu Katibu Mkuu Bara kutoka chama cha Chadema bwana Benson Kigaila ni kwamba katika kundi kubwa la watu takribani 500 waliokamatwa na Polisi kati ya siku hizo mbili, wakiwemo viongozi wakuu wa…
-

Polisi Tanzania yaachia viongozi wakuu wa CHADEMA na baadhi ya wafuasi wake
Katika taarifa ya Chadema iliyotolewa na John Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje kupitia ukurasa wake wa X zamani Twitter, imeeleza viongozi hao walirudishwa kutoka jijini Mbeya walikokamatiwa na kurejeshwa Dar…
-

Polisi Tanzania wakanusha taarifa yao juu ya zuio la mikutano ya hadhara
Kanusho hilo kutoka Makao Makuu ya Polisi limekuja kufuatia taarifa ya Polisi Mbagala iliyoandikwa kwenda kwa chama cha ACT Wazalendo kuzuia mkutano wa hadhara wa vijana wa chama hicho waliopanga kufanya leo Agosti 12,2024.
-

Tom Daley, Former Olympic Gold Medalist Retires from Diving
Tom Daley, a former Olympic gold medalist, announced his retirement from diving on Monday following the Paris Games.Daley, who won five Olympic gold throughout his defined career, disclosed his intention to retire from the sport…
-

Chadema:Hatujui viongozi wetu wanashikiliwa wapi
Naibu Katibu Mkuu Bara Benson Kigaila amewaeleza wanahabari kwamba viongozi hao wote wako chini ya mikono ya Polisi lakini Polisi hawataki kuwaonyesha wapi walipo hali inayowapa hofu juu ya usalama wao.
-

ACT -Wazalendo:Polisi waachieni viongozi wa CHADEMA bila masharti
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani na kukemea vikali vitisho vya Jeshi la Polisi na kukamatwa kwa viongozi wakuu wa CHADEMA na kuzuiwa kwa kongamano la vijana wa CHADEMA katika kuadhimisha siku ya vijana duniani iliyopangwa…
-

Utata kamatakamata ya viongozi wa Chadema nchini Tanzania
Jeshi la Polisi nchini Tanzania linawashikilia viongozi wakuu wa chama cha upinzani cha Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, aliyekuwa mgombea urais Tundu Lissu, na kuwakusanya mamia ya wafuasi wa vijana wa chama…
-

Vita ya Mpina, Bashe, Spika Tulia yazidi kukolea, afungua kesi tatu kuwashtaki
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza baada ya mawakili wake kueleza msingi wa kufungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, amesema kuwa zaidi ya mawakili 100 wameahidi kumuunga mkono katika kesi alizozifungua.









