Mwanzo TV
-

Mafuvu 17 ya vichwa vya watu yafukuliwa katika eneo linaloshukiwa kuwa takatifu nchini Uganda
Mafuvu 17 ya watu waliofukiwa kwenye masanduku ya chuma yamefukuliwa katika eneo linaloshukiwa kuwa madhabahu katikati mwa Uganda.
-

Wanachama 36 wa chama cha upinzani Uganda washtakiwa kwa ‘ugaidi’
Wanachama wa chama cha Forum for Democratic Change (FDC) walikamatwa nchini Kenya na kushtakiwa kwa kile wakili Erias Lukwago alichokiita “unyanyasaji” kwa utaratibu wa kisheria na mamlaka ya Uganda.
-

Ofisi za chama cha Bobi Wine zazingirwa na polisi kufuatia mpango wa maandamano Uganda
Hatua hiyo inajiri siku mbili baada ya Rais Yoweri Museveni, ambaye ametawala nchi hiyo kwa mkono wa chuma kwa takriban miongo minne, kuonya kwamba Waganda wanaopanga kuingia mitaani Jumanne “wanacheza na moto”.
-

Nape ajiondoa kwenye mtandao wa X(Twitter) baada ya kutumbuliwa Uwaziri.
Itakumbukwa kuwa taarifa ya Ikulu ya utenguzi wa Nape ilimkuta Waziri huyo wa zamani akiwa katikati ya hafla ya utoaji tuzo za wanawake wa kidigitali zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam…
-

Rais wa Afrika Kusini kuweka wazi mipango mipya ya serikali
Wiki chache baada ya kupiga kura, ANC ilifikia makubaliano ya kugawana madaraka ambayo hayajawahi kufanywa na vyama vingine 10, ikijipatanisha na mrengo wa kati katika hatua ambayo baadhi ya wachambuzi walisema ingewahakikishia wawekezaji.
-

Kada wa Chadema aliyetoweka na kukutwa polisi apandishwa kizimbani kimya kimya na kusomewa mashtaka matatu
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya kesi namba 19759/2024, Kombo ameshtakiwa kwa makosa matatu ambayo ni pamoja na kushindwa kutoa taarifa za kutosha za akaunti ya kadi yake ya simu, kinyume cha kifungu 126…
-

Nape aomba radhi kufuatia kauli yake ya CCM kushinda uchaguzi kwa njia haramu
Nape ameomba radhi leo ikiwa tayari kumekuwa na gumzo na sintofahamu iliyojaa mjadala wenye hisia mseto kufuatia kauli yake hiyo iliyozagaa mitandaoni tangu Julai 15,2024.
-

Tanzania, Marekani kuongeza nguvu ya pamoja kukabiliana na ugonjwa wa Saratani
Tanzania na Marekani wamekubaliana kukabiliana na uhaba wa wataalamu, ukosefu wa miundombinu wezeshi, Vifaa Tiba hususani vya kutoa huduma za Mionzi, Takwimu, Tafiti pamoja na Ubunifu ili kuwezesha wananchi wa Afrika kupata huduma bora za…
-

Fukuto ndani ya TLS lazidi kuongezeka, Mawakili waamua kuishtaki
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Ziwa, Steven Kitale amefungua shauri la mapitio ya kimahakama dhidi ya TLS. Shauri hilo namba 16018/2024, lililofunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza mnamo…








