Mwanzo TV
-

Ubalozi wa Tanzania nchini Korea wakana taarifa ya Tanzania kusaini mkataba unaouza bahari na madini yake.
Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini umesema Tanzania haijasaini mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoendelea nchini humo.
-

Afrika Kusini yajipanga kwa msukosuko wa kisiasa baada ya uchaguzi mkuu
Iwapo chama cha African National Congress (ANC) kitathibitishwa kuwa kimeshuka chini ya asilimia 50 ya kura, kitalazimisha chama kutafuta washirika wa muungano ili kuchaguliwa tena kuunda serikali mpya.
-

Tovuti ya Tume ya Uchaguzi Afrika Kusini yazimwa.
Mfumo Tovuti ya tume ya uchaguzi ya Afrika Kusini imeonekana kuingiliwa leo Ijumaa wakati nchi hiyo ikihesabu kura za uchaguzi mkuu ambapo chama tawala cha ANC kilionekana kupoteza wingi wake.
-

Waafrika Kusini leo wanapiga kura huku chama tawala cha ANC kikitajwa kupoteza umaarufu.
Zaidi ya wapiga kura milioni 27 wameandikishwa katika uchaguzi ambao haukuwa na uhakika tangu chama cha African National Congress (ANC) kuliongoza taifa hilo kutoka kwa utawala wa kibaguzi — na huku Rais Cyril Ramaphosa akiomba…
-

DRC yatangaza Serikali mpya yenye Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini humo
Katika taarifa lililotolewa mapema leo na msemaji wa serikali ya Kongo Tina Salama na kurushwa na televisheni ya taifa RTNC, baraza hilo jipya lina mawaziri 54 ikilinganishwa na 57 katika serikali iliyopita.
-

Mchango wa kununua gari jipya la Lissu wafikia milioni 24.9
Kupitia ukurasa wa X Lissu alithibitisha kupokea kiasi hicho cha fedha na kuomba wadau waendelee kumchangia apate gari hilo “kwa ajili ya harakati za ukombozi”.
-

Defying protests, TotalEnergies says seeking new oil fields
Climate activists say TotalEnergies is contributing to global warming, to the destruction of biodiversity and to violations of human rights through its gas and oil activities.
-

El Nino not responsible for East Africa floods: scientists
Torrential rainfall in Kenya, Tanzania and neighbouring nations killed more than 500 people
-

Kenya kuteuliwa kuwa mshirika mkuu asiyekuwa mwanachama wa NATO
Hadhi ya Kenya inathibitisha nafasi yake muhimu katika mipango ya usalama wa kimataifa na ushirikiano wake imara na Marekani
-

Biden woos Kenya’s Ruto with major ally status on state visit
Earlier Biden announced a plan to make Kenya the first major non-NATO ally in sub-Saharan Africa, saying it was the “fulfillment of years of collaboration” against the Islamic State group and Al-Shabaab jihadists in Somalia







