Mwanzo TV
-

Umuhimu wa Julai 7 katika Afrika Mashariki- Siku ya Saba Saba
Julai 7 bila shaka ni tarehe muhimu na yenye matukio mengi katika historia ya Afrika Mashariki.
-

Je nini kitafuata baada ya maandamano makubwa ya Kenya?
Wakenya wengi wamechanganyikiwa sana na serikali huku wakihangaika na mzozo wa gharama ya maisha — ambao waandamanaji wanasema kupanda huko kutazidisha tu.
-

Msimamo wa Rais Ruto dhidi ya waandamanaji nchini Kenya
Rais wa Kenya William Ruto aliapa kuchukua msimamo mkali dhidi ya “vurugu na machafuko” yaliyotokea siku ya Jumanne, baada ya maandamano ya kupinga mapendekezo ya serikali yake ya kupandisha ushuru kuwa mbaya na waandamanaji kulivamia…
-

Bajeti ya Tanzania kupigiwa kura leo
Wabunge wanapata fursa ya kupiga kura baada ya siku saba za majadiliano tangu bajeti hiyo ilipowasilishwa bungeni jijini Dodoma Juni 13 mwaka huu, ikiwa ni bajeti ya nne.
-

Tanzania yafanya uzinduzi wa ujenzi wa mejengo pacha ya ghorofa 22 nchini Kenya
Serikali imezindua ujenzi wa majengo pacha ya ghorofa 22 kila moja jijini Nairobi, Kenya, yatakayotumika kama Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo na kitega uchumi kwa ajili ya kuongeza fedha za kigeni.
-

Kesi ya mauaji ya Mawazo wa CHADEMA kusikilizwa leo
Kesi hiyo imeanza kusikilizwa upya baada ya Mahakama ya Rufani iliyoketi Mwanza mbele ya majaji watatu, Ferdinand Wambali, Issa Maige na Leila Mgonya kutengua hukumu ya kesi hiyo na kuamuru ianze kusikilizwa upya, baada ya…
-

ACT Wazalendo waionya Serikali kufungia mtandao wa X(Twitter)
Akiongea Jijini Dar es salaam leo June 12,2024, Waziri Kivuli wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa ACT Wazalendo, Rahma Mwita amesema Serikali ya CCM imekuwa na utamaduni wa kutovumilia maoni, mitazamo na fikra…
-

Malawi VP, nine others, killed in plane crash
The military plane carrying Chilima, 51, and nine others disappeared on Monday, after it failed to land in the northern city of Mzuzu due to bad weather and was told to return to the capital,…
-

Raila Odinga Reveals Ambitions for African Union Leadership
Raila emphasized the need for Africans to take control of their continent by improving communication and trade among themselves.
-

Bei ya Petroli yashuka kiduchu
Kwa mwezi huu wa Juni bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa shilingi 53 na kufikia shilingi 3,261 kwa lita moja, ikilinganishwa na bei ya mwezi Mei…







