Mwanzo TV
-

LHRC yalaani tukio la kutekwa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania(LHRC) kimitaka vyombo vya ulinzi na usalama na mamlaka za kisheria kuhakikisha vinafuata sheria pindi vinapomkamata mtu au watu ikiwemo kuwafikisha Mahakamani ndani ya muda unaokubalika kisheria.
-

Polisi nchini Msumbuji watumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji
Polisi nchini Msumbiji walitumia gesi ya kutoa machozi leo Jumatatu kutawanya umati mdogo katika mji wa Maputo, ambapo maduka yalikuwa yamefungwa kabla ya maandamano yaliyoandaliwa kupinga udanganyifu wa uchaguzi.
-

Zoezi la kuhesabu kura laanza polepole nchini Msumbuji
Zaidi ya watu milioni 17 walipiga kura siku ya Jumatano kwa ajili ya uchaguzi wa rais mpya na wabunge katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, ambayo ni miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani licha…
-

Uganda yathibitisha kesi ya Mpox kwenye gereza
Kesi ishirini na moja za mpox zimeripotiwa katika eneo la Nakasongola kati ya jumla ya kesi arobaini na moja nchini kote kufikia tarehe 7 Oktoba, kulingana na wizara ya afya.
-

Kampuni ya Tigo yadaiwa kutoa taarifa za mwanasiasa wa Tanzania Tundu Lissu kabla ya jaribio lake la kuuawa
Inadaiwa kwamba Tigo ilitoa taarifa za simu na eneo la Lissu kwa mamlaka za Tanzania kwa muda wote wa saa katika wiki zilizotangulia kabla ya shambulio hilo lililotokea tarehe 7 Septemba 2017.
-

Mbowe asisitiza haki, awalilia waliotekwa
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa mwezi huu umejawa na maombolezo kwa chama hicho kutokana na yanayoendelea kutokea dhidi ya wanachama wake ambapo hadi sasa baadhi yao hawajulikani walipo…
-

Rais Samia awaonya Mabalozi waliotoa tamko kulaani mauaji ya Kibao
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa mabalozi waliotoa tamko kulaani mauaji ya kibao nchini, akisema kuwa Tanzania haitahitaji maelekezo kutoka kwa mtu yeyote kuhusu jinsi ya kuendesha mambo yake ya ndani.
-

CCM yajitoa kuhusika na utekaji Tanzania, yataka ushirikiano na upinzani kukomesha utekaji nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi, amekanusha vikali madai kwamba chama chake kinahusika na matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini Tanzania. Nchimbi alisisitiza kuwa vitendo hivi vinachochewa na magenge ya uhalifu…
-

Jeshi la Polisi Tanzania laonya na kupiga marufuku maandamano ya CHADEMA
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limetoa onyo kali na kupiga marufuku maandamano yaliyotangazwa na viongozi wa CHADEMA yatakayofanyika tarehe 23 Septemba 2024. Polisi wameonya kwamba mtu yeyote atakayepatikana akiingia barabarani atakabiliwa na hatua kali za…
-

Ali Kibao azikwa, wananchi wataka Waziri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu
Leo, Septemba 9,2024 mwili wa Ali Kibao, kada maarufu wa chama cha Chadema ambaye alifariki baada ya kutekwa umezikwa huku umati mkubwa wa watu umejitokeza kushuhudia safari yake ya mwisho iliyojaa huzuni ya kutafakarisha







