Lula ashinda uchaguzi wa urais Brazil
Lula alishinda kwa asilimia 50.84 ya kura, ikilinganishwa na asilimia 49.16 ya rais wa sasa, Jair Bolsonaro
Lula alishinda kwa asilimia 50.84 ya kura, ikilinganishwa na asilimia 49.16 ya rais wa sasa, Jair Bolsonaro
Authorities said nearly 500 people were celebrating a festival on and around the nearly 150-year-old suspension bridge in Morbi when supporting cables snapped
Uwanja wa Martyrs una uwezo wa kuchukua watu 80,000 na ripoti zinasema kwamba ulikuwa umejaa kabisa kwa kipenzi cha wenyeji
Police estimate as many as 100,000 people, mostly in their teens and 20s, went to celebrate Halloween Saturday night.
Mwanasiasa Sam Matekane siku ya Ijumaa alikula kiapo cha kuwa waziri mkuu mpya wa Lesotho katika uwanja wa Setsoto uliofurika katika mji mkuu, Maseru.
Wakazi milioni 5.5 watakwenda bila maji ya bomba kwa saa 24 kwa siku mbadala, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema.
“Njia pekee ninayoweza kumlipa mama yangu ni kwa kuwa Rais wa Uganda! Na hakika nitafanya hivyo!!” Jenerali Muhoozi aliandika katika ukurasa wake wa Twitter.
Elon Musk took control of Twitter in a deal that puts one of the leading platforms for global discourse in the hands of the world’s richest man
Hayo ni kwa mujibu wa Naibu Waziri Mkuu wa kwanza wa nchi hiyo na Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga.
Amou Haji, ambaye hakujiosha kwa zaidi ya nusu karne, alifariki Jumapili katika kijiji cha Dejgah katika mkoa wa kusini wa Fars