• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Tag: Mwanzotv.com

Familia ya kada wa CCM Daniel Chonchorio anaedaiwa kutekwa yajitokeza kuomba msaada
East Africa Tanzania

Familia ya kada wa CCM Daniel Chonchorio anaedaiwa kutekwa yajitokeza kuomba msaada

Asia GambaMarch 26, 2025

Familia ya Daniel Chonchorio, kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye anadaiwa kutoweka Jumapili asubuhi akiwa kwenye mazoezi eneo la Nyakato jijini Mwanza, imejitokeza hadharani kuomba msaada kwa umma ili kumtafuta ndugu yao.

M23 yafuta mazungumzo ya amani na serikali ya DRC kwa sababu ya vikwazo
East Africa Politics Social Issues War & Conflicts

M23 yafuta mazungumzo ya amani na serikali ya DRC kwa sababu ya vikwazo

Asia GambaMarch 18, 2025

Kikundi cha M23 kilichopatiwa msaada na Rwanda kimesema hakiwezi kushiriki katika mazungumzo ya amani na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyopangwa kufanyika leo Jumanne mjini Luanda, mji mkuu wa Angola, kufuatia vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya baadhi ya viongozi wake wakuu.

Sports Tanzania

CAF yaufungia uwanja wa Benjamini Mkapa

Asia GambaMarch 12, 2025

CAF imefikia hatua hiyo baada ya kuufungia kwa muda Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam kutokana na eneo la kuchezea (pitch) kuendelea kupungua ubora wake.

Mauti ilivyokunja mwavuli wa Prof Sarungi, gwiji wa tiba ya mifupa Tanzania
East Africa Tanzania

Mauti ilivyokunja mwavuli wa Prof Sarungi, gwiji wa tiba ya mifupa Tanzania

Asia GambaMarch 10, 2025March 10, 2025

Mmoja wa zao la Tanzania waliojitolea kwa dhati, ambaye jina lake lilikuwa na ushawishi mkubwa kwa vizazi na mijadala ya kisiasa, hatimaye ameondoka jukwaani.

Prof. Sarungi, Daktari aliyetumia vyema kiapo chake cha Udaktari licha ya kuwa Mwanasiasa
East Africa People Social Issues Tanzania Uncategorized

Prof. Sarungi, Daktari aliyetumia vyema kiapo chake cha Udaktari licha ya kuwa Mwanasiasa

Asia GambaMarch 6, 2025

Prof. Mikol Philemon Sarungi, ambaye alifariki dunia tarehe 5 Machi 2025 akiwa nyumbani kwake, alijijengea jina kubwa katika historia ya Tanzania kama daktari, mtaalamu wa mifupa, na kiongozi wa serikali.

Tanzania yapokea Faru weupe kutoka Afrika Kusini
East Africa Tanzania Uncategorized

Tanzania yapokea Faru weupe kutoka Afrika Kusini

Asia GambaMarch 4, 2025

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18  kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini.

Dkt Slaa aachiwa huru baada ya siku 48 rumande, atangaza kurudi Chadema
East Africa Politics Rights & Freedoms Tanzania

Dkt Slaa aachiwa huru baada ya siku 48 rumande, atangaza kurudi Chadema

Asia GambaFebruary 27, 2025

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa(76) baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.

Miaka Mitatu ya Ukatili wa DRC Inahitaji Mahakama Maalum: Mwendesha Mashtaka wa ICC
Africa East Africa War & Conflicts

Miaka Mitatu ya Ukatili wa DRC Inahitaji Mahakama Maalum: Mwendesha Mashtaka wa ICC

Asia GambaFebruary 27, 2025February 28, 2025

Katika mahojiano  alipoitembelea Kinshasa, Mwendesha Mashtaka Khan alikubali kushindwa kwa mfumo wa haki za kimataifa kuzuia ukatili wa kutisha ambao umekuwepo kwa miongo kadhaa katika eneo hili na kusema kuwa yeye ni “ana masikitiko makubwa kuhusu kuongezeka kwa ghasia.”

ACT Wazalendo yalaani kukamatwa kwa M/kiti wa NETO, yataka aachiwe huru
East Africa Social Issues Tanzania Uncategorized

ACT Wazalendo yalaani kukamatwa kwa M/kiti wa NETO, yataka aachiwe huru

Asia GambaFebruary 25, 2025February 25, 2025

Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali kukamatwa kwa ndugu Joseph Paulo Kaheza, Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), ambaye anashikiliwa na polisi mkoani Geita tangu jana Februari 24, 2025 

Waziri Mkuu wa DRC asema zaidi ya watu 7,000 wamefariki mashariki mwa nchi
Africa East Africa War & Conflicts

Waziri Mkuu wa DRC asema zaidi ya watu 7,000 wamefariki mashariki mwa nchi

Asia GambaFebruary 25, 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) alisema Jumatatu kwamba zaidi ya watu 7,000 wamefariki mashariki mwa nchi hiyo tangu mwezi Januari, wakati kundi la M23 lililokuwa likiungwa mkono na Rwanda lilipochukua miji miwili mikubwa.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy