Panga la Wajumbe: Vigogo wa CCM waangukia pua kura za maoni
Ingawa majina ya mwisho ya wagombea yataamuliwa na ngazi za juu za chama hicho, matokeo ya sasa yameweka uelekeo wa wazi kuwa sehemu kubwa ya wanachama wameonyesha hamu ya kuona sura mpya zikipewa nafasi ya uongozi.