Melivita ya Kichina ya matibabu yahudumia watu zaidi ya 5,000 kwa siku.
Melivita ya matibabu iitwayo ‘Peace Ark’ ya Jeshi la Ukombozi la watu wa China imetoa matibabu kwa wagonjwa zaidi ya elfu 5,000 kwa siku Tano baada ya kukita nanga katika bandari ya Dar Es Salaam nchini Tanzania Julai 16, 2024 itakayotoa huduma kwa siku Saba.