Tanzania news
-

Dr. Nyambura Moremi’s Return: A New Chapter in Tanzania’s Health Leadership
Dr Nyambura Moremi was suspended alongside the institution’s Quality Assurance Director Jacob Lusekelo
-

Watu 17 wameokolewa kufuatia ajali ya kuzama kwa meli ya MV MAMAN BENITA
Taarifa ya TASAC imeeleza kuwa baada ya kuzama Aprili 7, 2024, Wavuvi walimuokoa Abiria mmoja raia wa China na hadi Saa 1:00 Usiku wa Aprili 7, 2024, Watu 17 waliokolewa ambapo Wachina 2, Watanzania 3…
-

Shilingi trilioni 1.4 kutumika kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Ukimwi na Kifua Kikuu
Serikali ya Tanzania imepokea jumla ya dola za kimarekani milioni 602 sawa na trilioni 1.4 za kitanzania kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Kifua Kikuu na UKIMWI katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia…
-

Waziri Silaa kuburuzwa mahakamani kwa kuvunja nyumba ya Mahururu kinyume na sheria
Wakili wa kujitegemea Dikson Matata amesema wameweka nia ya kumfungilia kesi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kwa kuvunja nyumba ya mteja wake kinyume na sheria. Matata anamuwakilisha ndugu Johnsen Leornard…
-

Yanga Vs Mamelod, mzunguko ni bure
Mechi hiyo ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika, itachezwa saa 3 usiku, hivyo kulingana na muda huo uongozi wa Yanga umeamua kuwapunguzia gharama mashabiki wake.
-

WHO yatoa tahadhari juu ya uhaba wa chanjo ya Kipindupindu
Tahadhari hiyo imetolewa katika wakati ambapo dunia inakabiliwa na uhaba wa chanjo dhidi ya ugonjwa huo wa kuharisha.
-

Watu 10 watiwa mbaroni kwa tuhuma za kutorosha madini ya dhahabu Kg 9.8
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia wafanyabiashara wa madini 10 kwa tuhuma za utoroshaji wa madini Kilogramu 9.8yenye thamani ya Tsh 1,555,476,586
-

Wanasayansi wafanikiwa kuondoa kabisa virusi vya Ukimwi kutoka kwenye seli za mwili zilizoambukizwa.
Wanasayansi wanasema wamefanikiwa kuondoa kabisa virusi vinavyosababisha Ukimwi (VVU) kutoka kwenye seli za mwili zilizoambukizwa, kwa kutumia teknolojia ya kurekebisha upya jeni za mwili ya Crispr (Crispr gene-editing technology) iliyoshinda Tuzo ya Nobel
-

Miaka mitatu ya Urais wa Samia akiwa mwanamke wa kwanza Tanzania kushika wadhfa huo.
Rais Samia Suluhu Hassan alishika hatamu ya nchi kufuatia kifo cha mtangulizi wake huyo hivyo kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza taifa hilo tangu lipate uhuru.
-

ACT Wazalendo waitaka Serikali itekeleze ahadi yake ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutunga sheria ya kuiwezesha Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.







