Tanzania news
-

TBS:Mchele kutoka Marekani ni salama
Taarifa ya TBS iliyotolewa kwa vyombo vya habari imeeleza kuwa chakula hicho kilipoingizwa nchini kilifanyiwa ukaguzi na uchunguzi wa kimaabara na kuthibitishwa kuwa ni salama kwa matumizi.
-

Jenerali Mabeyo: Kulikuwa na ugumu wa kumuapisha rais mwingine baada ya kifo cha Magufuli
Hata hivyo anakiri kwamba kulikuwa na ugumu uliosababisha kuchukua saa 48 kabla ya rais mwingine hajaapishwa jambo ambalo ni kinyume na Katiba ya Tanzania, hali iliyotokana na pande mbili kuwa kutofautiana kimaamuzi.
-

Serikali ya Tanzania yataja vipaumbele mpango wa maendeleo 2024/25
Serikali imewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa mwaka 2024/25. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo aliwasilisha mpango huo Dodoma jana katika kikao cha kamati ya bunge…
-

CHADEMA wakaza mguu kwenye maandamano, wataja mkakati mpya wa maandamano0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kilitangaza awamu nyingine ya maandamano yenye utofauti na awamu ya kwanza ya maandamano iliyomalizika hivi karibuni.
-

Wapandishwa kizimbani kwa kukutwa na sukari na mafuta ya magendo.
Wakazi saba wa Jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mbele ya mahakimu watatu tofauti wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka manne yakiwamo ya kusafirisha sukari na mafuta ya…
-

Safu mpya ya uongozi wa ACT Wazalendo ilivyoweka kipaumbele cha uchaguzi ili kushika dola.
Wiki hii ilikuwa ni wiki ya hekaheka za vikao vya kamati kuu vya chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, ambayo imeishia katika mkutano mkuu wa chama hicho ambao ulitambulisha safu ya viongozi wapya ikiwa ni…
-

Mzee Mwinyi afariki dunia kwa saratani ya mapafu
Ali Hassan Mwinyi maarufu Mzee Rukhsa alikuwa rais wa awamu ya pili ncini Tanzania aliyehudumu madarakani kwa miaka 10 kutoka mwaka 1985 mpaka 1995.
-

Remembering the Legacies of Tanzania’s Three Departed Former Presidents
Tanzania has faced the somber reality of losing three of its distinguished leaders in recent years, Benjamin Mkapa in 2020, John Magufuli in 2021, and Ali Hassan Mwinyi in 2024
-

Lowassa jemedali wa siasa nchini Tanzania
Lowassa amefarikI Februari 10,2024 siku ya Jumamosi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyoko jijini Dar es salaam.
-

Mswada wa Sheria ya uchaguzi Tanzania kizungumkuti
Miswada hiyo ambayo imeibua mjadala pamoja na kupingwa na wadau mbalimbali ikiwamo vyama vya siasa, imetajwa kuwa na uzito wa kipekee kiasi cha kuongezewa muda wa wiki moja tofauti na utaratibu wa kawaida wa bunge…







