Tanzania news
-

Mfalme Zumaridi amkataa hakimu
Katika kesi hiyo Mfalme Zumaridi na wenzake nane wanakabiliwa na shtaka la kushambulia na kumsababishia majeraha Ofisa wa Jeshi la Polisi na kumzuia Ofisa Ustawi wa Jamii kutekeleza majukumu yake.
-

Rais wa Sri Lanka huenda akakimbilia uhamishoni
Hakukuwa na taarifa rasmi kutoka ofisi ya rais kuhusu aliko, lakini ripoti kadhaa za vyombo vya habari zilikisia kwamba alikuwa anatazamiwa kuondoka kuelekea Dubai
-

Pesa za Rais wa Sri Lanka kukabidhiwa mahakamni leo
Waandamanaji waligundua rupia milioni 17.85 (kama dola 50,000) katika noti mpya lakini wakazikabidhi kwa polisi kufuatia shambulio la Jumamosi la Ikulu ya Rais.
-

Aliyetumika kufanya mauaji kwakukodiwa nchini Tanzania naye auawa.
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa anatafutwa na polisi kwa muda mrefu kwa tuhuma za kukata mapanga watu maeneo tofauti.
-

Uamuzi kesi ya kina Mdee na wenzake kutolewa leo.
Mdee na wenzake waliwasilisha maombi hayo Mei 13, mwaka huu wakiomba mahakama iwapatie kibali cha kufungua kesi ya mapitio ya kimahakama dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chadema, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na…
-

Mashauri kushughulikiwa saa 24 kupunguza msongamano wa kesi.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Kitengo cha Maboresho ya Mahakama, Dk. Angelo Rumisha wakati Benki ya Dunia ilipotembelea banda la mahakama katika maonesho ya 46 ya Sabasaba, Dar es Salaam.
-

Sri Lanka yaiomba Urusi kutoa mafuta na kuanza tena safari za ndege za watalii kusaidia nchi hiyo.
Taifa hilo la kisiwa limekumbwa na ukosefu wa umeme kwa miezi kadhaa, mfumuko wa bei uliokithiri na uhaba mkubwa wa chakula na petroli baada ya kukosa fedha za kigeni kufadhili uagizaji bidhaa kutoka nje.
-

Aliyeua watu sita wa familia moja akamatwa mkoani Kigoma
Akitoa taarifa hiyo leo, Julai 6, 2022, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi nchini, Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limejiridhisha bila kuona shaka kuwa mtu huyo ndiye amefanya mauaji peke yake.
-

UK PM Johnson faces parliamentary inquisition after top ministers quit
The exits of Sunak and Javid were announced minutes after the prime minister apologized for appointing a senior Conservative, who quit last week after he was accused of drunkenly groping two men.
-

Kiswahili sasa rasmi nchini Uganda
Kiswahili, ambacho asili yake ni Afrika Mashariki, ni mojawapo ya lugha 10 zinazozungumzwa na watu wengi zaidi duniani ikiwa na wazungumzaji takriban milioni 200.







