Upelelezi waendelea kukwamisha kesi ya mauaji ya askari Loliondo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ilipanga kutaja kesi hiyo leo Novemba 8, 2022 lakini Wakili wa Serikali Upendo Shemkole aliimweleza Hakimu Mkazi, Harieth Mhenga kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika.