Tanzania
-

Miili ya familia ya watu sita waliouawa wazikwa usiku
Miili hiyo imezikwa kwa pamoja jana Jumapili Julai 3, 2022 , majira ya usiku, huku vilio na simanzi zikitawala
-

Miaka 30 ya Vyama Vingi: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele
Leo Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati taifa linapoanza njia mpya.…
-

Mabosi wa TPA wapandishwa kizimbani kwa kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 4.2
Waliofikishwa mahakamani kwa makosa hayo, ni Ofisa Rasilimali Watu wa mamlaka hiyo, Peter Gawile (58); Mwenyekiti wa Bodi ya Manunuzi, Casmily Lujegi (65); Mkurugenzi wa Idara ya Manunuzi, Mashaka Kisanta (59) na Kilian Chale (51),…
-

Kesi ya mauaji ya askari Ngorongoro Mawakili 14 wajitokeza kuwatetea watuhumiwa 25 wa mauaji hayo
Leo Juni 30, 2022 watuhumiwa hao wakiwemo madiwani tisa wa wilaya hiyo na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani humo Ndirango Laizer walifikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
-

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ataka fomu za kujiunga na shule za serikali ziweke wazi kuhusu kutokuwepo kwa michango ya shuleni.
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo Alhamisi tarehe 30 Juni, 2022, bungeni jijini Dodoma wakati akisoma hotuba yake kuhitimisha Mkutano wa saba wa bunge la 12 ulioanza tarehe 5 Aprili, 2022.
-

Katibu Mkuu CWT ahukumiwa kifungo cha miezi sita jela
Akitoa Hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate amesema mahakama hiyo imewatia hatiani washtakiwa hao na kila mmoja atatumikia kifungo cha miezi sita jela.
-

Raia zaidi ya 360,000 wameuawa ndani ya mwezi mmoja nchini Syria
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Michelle Bachelet amesema idadi ya vifo nchini Syria katika kipindi cha miaka 10 ni takriban asilimia 1.5 ya idadi ya watu wa taifa hilo.
-

Tanzania yabariki hoja ya kuwatambua na kusamehe walipa kodi mahiri
Akizungumza bungeni jijini hapa jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, alisema serikali imezingatia dalili zote za walakini kabla ya kuupa baraka msimamo wake huo.
-

Polisi Dar yawashikilia watu 23 kwa tuhuma za utapeli na kufanya biashara ya ngono
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema waliokamatwa ni watuhumiwa waliokuwa wakijifanya wakuu wa shule, waganga wa kienyeji, ndugu wa waathirika, wahudumu wa makampuni ya simu au mawakala wa Freemason.
-

Rufaa ya akina na Mdee na wenzake kusikilizwa kesho
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa zuio la muda la kutofanyika chocolate kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa yao. Rufaa hiyo ni dhidi ya uamuzi…







