Tanzania
-

Wanawake waongoza kwa kuugua ugonjwa wa saratani
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekiri kuwepo kwa idadi kubwa ya wanawake wanaougua Saratani.
-

Afariki kwa kuteketea kwa moto baada ya magari kugongana na kisha kuwaka moto.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ,Urlich Matei amesema ajali hiyo imetokea jana June 27, 2022 saa 12 asubuhi.
-

Tozo ya ving’amuzi nchini Tanzania yapunguzwa
Hayo yamesemwa leo Jumatatu Juni 2022/2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Daniel Sillo wakati akiwasilisha maoni ya kamati yake kuhusiana na Muswada wa Sheria ya Fedha 2022.
-

Ummy: Tunataka utafiti kuhusu dawa za saratani
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameitaka bodi mpya ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road kufanya tafiti za dawa za saratani, ili kujibu maswali ya wananchi.
-

Mahakama yamfutia hukumu aliyemtukana mama yake mzazi
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Juliana Masabo wa mahakama hiyo, ambaye alisema mrufani (Zarina) alikuwa na hoja saba za kupinga hukumu hiyo iliyomtia hatiani ikiwa ya Mahakama ya Ilala kukosea kumtia hatiani na kumfunga mrufani…
-

Has the Tanzanian Government started opening up to ‘Katiba mpya sasa’?
The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) said earlier this week it had agreed to revive a stalled process to review the constitution “for the greater national interest”.
-

Wafanyabiashara watatu wapandishwa kizimbani kwa kuisababishia TRA hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 10.5
Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali wa TRA, Medalakini Godwini alidai watatu hao walitenda makosa hayo kati ya Januari 2018 na Juni 15,2022 jijini Dar es Salaam.
-

Miradi ya Maendeleo yatajwa kuwa chanzo cha ongezeko la deni la Taifa nchini Tanzania.
Akihitimisha mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema deni hilo haliongezeki kwa sababu ya matumizi…
-

Tanzania kupitia miongozo kupunguza michango shuleni
Katika majadala huo, baadhi ya wabunge waliiomba Serikali itatue changamoto ya utitiri wa michango ya wanafunzi shuleni, ili azma yake ya kufuta ada kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha tano na sita kwa ajili…
-

Baadhi ya Wamasai walihamia Msomera wafurahia makazi mapya ya Msomera
Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi hao mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea eneo hilo jana Juni 23, 2022 kukagua makazi na miundombinu ya huduma za jamii inayojengwa katika eneo hilo.







