Tanzania
-

Kishoa: Wanasiasa wanatafuta kiki sakata la Loliondo
Aidha amesema wanansiasa na wanaharakati wanapaswa kuacha kutumia kiraka cha Haki za Binadamua kwenye suala la mgogoro wa Loliondo na Ngorongoro linaloendelea nchini Tanzania.
-

Nyani apora mtoto mchanga wakati akinyonyeshwa na mama yake
Kundi la nyani waliopo katika hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo mkoani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki…
-

Maumivu yaja kwa watumiaji wa daraja la Tanzanite
Serikali imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha – Mlandizi – Chalinze – Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa – Songwe -Tunduma (Expressway)…
-

Bashungwa: Shule ziwashirikishe wazazi kupanga michango ya shule kabla ya kuanza kutoza
Bashungwa amewaagiza wakuu wa shule na walimu wakuu wa shule kuwashirikisha wazazi, bodi za shule, kamati za shule na walezi kwa kuzingatia taratibu zilizopo.
-

Tanzania targets internet giants with new tax
The tax needs to be approved by Tanzania’s parliament, which will vote on the budget before July.
-

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kinachoendelea Loliondo wilayani Ngorongoro nchini Tanzania.
“Tunasikitishwa sana na taarifa za matumizi ya risasi za moto na mabomu ya machozi yaliyofanywa na vikosi vya usalama vya Tanzania tarehe 10 Juni 2022, na kusababisha takriban watu 30 kupata majeraha madogo hadi mabaya…
-

Walioshiriki zoezi la Ushirikiano Uganda warejea
Ni zoezi la kijeshi lililofanyika siku 14 kuanzia Mei 28, ambalo huandaliwa na nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki, likihusisha washiriki kutoka majeshi na vitengo mbalimbali vya nchi wanachama kwa nia ya kukabiliana na…
-

Ukuaji wa Uchumi nchini Tanzania waongezeka
Hayo yamesemwa leo bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango nchini humo Dk. Mwigulu Nchemba, wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka 2021 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka…
-

Tukio la mauaji ya Padri mkoani Mbeya lazua hofu kwa wananchi
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema tukio la mauaji ya kutisha ya Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya, Michael Samson (63) raia wa Malawi, limezua hofu miongoni mwa wananchi wa mkoa…
-

Macho na masiko ya wananchi hii leo ni katika mhimili wa bunge ambapo Bajeti Kuu ya Serikali itasomwa
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 inawasilishwa siku moja na bajeti za serikali za baadhi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.







