Tanzania
-

Mke amuua mume akimtuhumu kutokuwa na msaada wowote kwenye familia
Chanzo cha mauaji hayo ni mgogoro wa muda mrefu kati ya wanandoa hao hususani jioni mwanamke anapolewa na kuanza kumtuhumu mumewe kuwa hana msaada wowote katika maisha yao.
-

Alawiti mtoto wa miaka mitano kutokana na imani za kishirikina
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo lilitokea Juni 3, 2022, ambapo mtuhumiwa anadaiwa kumvizia binti huyo njiani na kumkamata, kisha kutekeleza kitendo chake kwenye vichaka vilivyopo jirani na…
-

Mawaziri wa Jinsia kutoka SADC wanatarajia kukutana kesho nchini Malawi
Kwa mujibu wa taarifa ya Sekretarieti ya Sadc kwa vyombo vya habari jana, mkutano huo utakaokuwa chini ya uenyekiti wa Waziri wa Jinsia, Maendeleo na Ustawi wa Jamii wa Malawi, Patricia Kaliati, utafuatilia utekelezaji wa…
-

Shauri la Tozo za Miamala lililofunguliwa na LHRC laondolewa mahakamani
Uamuzi huo ulifikiwa mahakamani hapo chini ya jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji John Mgeta kwa kusaidiana na Jaji Edwin Kakolaki na Jaji Zahra Maruma.
-

WHO yasema watoto 38 wanauhitaji wa kupandikizwa Ini
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema hayo jana akizungumza na waandishi wa habari jijini Geneva, Uswisi, mkutano ambao huwa mahsusi kwa ajili ya kutoa ripoti kuhusu mwelekeo wa ugonjwa wa Corona taarifa nyingine.
-

Tanzania kuendelea kutoa ruzuku kwenye mafuta hadi bidhaa hiyo itakaposhuka bei
Serikali ilianza kutoka zuruku ya shilingi bilioni 100 mwezi huu na kuleta ahueni kwenye bei za nishati ya mafuta ambapo Petroli ilipungua kwa shilingi 152 hadi 306 na dizeli shilingi 320 hadi 488 kutegemeana na…
-

Wagonjwa 161, wathibitishwa kuwa na UVIKO-19 nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Serikali nchini humo, Dk Aifello Sichwale imeeleza kuwa ongezeko hilo ni sawa na asilimia 137, hali inayoashiria kuwa maambukizi yameanza kuongezeka kwa jamii.
-

Mwalimu wa “Field”adaiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa sita
Mwalimu huyo alikwenda shuleni hapo kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo akitokea Chuo cha Ualimu Tandala kilichopo wilayani Makete mkoani Njombe.
-

Raia anayedaiwa kuwa ni wa Burundi auawa baada ya kujaribu kupora.
Awali kabla ya kutekeleza azma yake hiyo, akiwa amejificha kwenye kichaka alikutana na mwananchi wa kijiji hicho, Yapemacho Kasiano ambaye alimhoji mtu huyo sababu ya kujificha kichakani na alijibu kuwa alikuwa anatafuta njia ya kwenda…
-

Timu ya Taifa ya Tanzania kuikabili Algeria
Kocha wa Stars Kim Paulsen alisema wataingia uwanjani kwa kuwaheshimu wapinzani kutokana na ubora walionao.







