Tanzania
-

Masauni:Nchi iko salama haina tishio la kiuslama, Lema na Lissu hawana sababu ya kutorejea Tanzania
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ametengeneza mazingira mazuri ya kisiasa na kuifanya nchi kuwa usalama, hivyo hakuna sababu za viongozi wa kisiasa ikiwemo wa chama…
-

Amuua mkewe kisha akimbia kusikojulikana
Kamanda wa Polisi Kanda hiyo, Jumanne Muriro amesema tukio hilo lilitokea Juni 6, 2022 ambapo marehemu alikuwa anauza pombe ya kienyeji ndipo walianza ugomvi ukaanza kati ya wawili hao.
-

Ndugu wa Sabaya wataka Rais Samia aingilie kati kesi ya Sabaya na wenzake, wataka Serikali ikumbuke mazuri aliyoyafanya Sabaya akiwa kiongozi
Wakiangua vilio huku wakiwa wameshika majani ya masala nje ya mahakama hiyo, wamemuomba Rais Samia ayakumbuke mazuri aliyofanya Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Hai.
-

Serikali ya Tanzania kutumia trilioni 9 kulipa deni
Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania imeliomba Bunge kuidhinisha shilingi trilioni 14.94 ikiwa ni bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 huku shilingi trilioni 9.09 zikienda katika kulipa deni la Serikali.
-

Serengeti Girls yapewa heshima ya pekee ndani ya bunge la Tanzania
Wachezaji wa timu hiyo na baadhi ya maofisa, walipewa heshima hiyo kwa kuingia ndani ya ukumbi wa bunge, huku wakipigiwa makofi na wabunge.
-

Matukio ya ubakaji yaongoza kwenye matukio ya ukatili nchini Tanzania
Serikali ya Tanzania imetaja jumla ya matukio 11,499 ya ukatili yaliyoripotiwa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2021 huku ubakaji ukiongza kwa idadi ya matukio hayo.
-

Lugha ya Kiswahili inavyoitangaza Tanzania Kimataifa
Lugha adhimu ya Kiswahili imeendelea kukua na kuimarika na kukubalika kutumika kitaifa, kikanda na kimataifa hatua inayolitangaza vema taifa la Tanzania duniani.
-

Huduma la LUKU nchini Tanzania kukosekana kwa saa mbili
Tanesco imesema huduma hiyo itakosekana kuanzia saa 6 usiku hadi saa 8 usiku nchi nzima ili kupisha maboresho ya mfumo wa manunuzi ya umeme kwa wateja wanaolipia kabla ya matumizi (Luku), kupitia mifumo iliyopo katika…
-

Safari ya CDF Jenerali Mabeyo, katika kulitumikia Jeshi la Tanzania
Alizaliwa Julai 1, 1956 wilayani Magu mkoani Mwanza na kupata elimu ya msingi katika shule ya Namibu mkoani Mara kuanzia 1965 hadi 1971.
-

Waziri Mkuu wa Tanzania atoa onyo kwa wanaotiririsha maji taka
Vilevile, amekemea tabia ya uchomaji miti, uvamizi na uharibifu wa mapori tengefu, ukataji wa miti holela kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, uvamizi na uharibifu wa vyanzo vya maji pamoja na uchomaji moto misitu.







