Tanzania
-

Hukumu ya Sabaya na wenzake yaahirishwa
Awali Hukumu hiyo ilikuwa isomwe leo Mei 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, lakini imeaairishwa na Hakimu Mfawidhi Mkoa wa Arusha, Fadhili Mbelwa kwa maelezo kuwa hakimu Patricia Kisinda aliyekuwa akisikiliza…
-

Mahakama kuamua hatma ya Sabaya na wenzake leo
Hukumu hiyo inatarajiwa kuamua hatima ya kiongozi huyo wa zamani na wenzake endapo wataachiwa huru, ama wataendelea kusalia kifungoni.
-

Mbunge nchini Tanzania ataka wabakaji wahasiwe
Mbunge huyo ameyasema hayo kwa hisia kali ndani ya ukumbi wa bunge, wakati akichangia hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 mjini Dodoma leo.
-

Waziri Mkuu mstaafu nchini Tanzania, aunganishwa kwenye kikosi kazi cha Rais Samia.
Pinda ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu katika Serikali ya awamu ya nne nchini humo amejukuishwa leo kwenye Kikosi hicho kilichoteuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi ikiwa mwezi mmoja sasa umepita…
-

Makalla: Chanzo cha moto soko la Veterinary ni hitilafu ya umeme.
Makalla amesema hayo alipotembelea soko hilo leo kujionea uharibifu wa mali zilizoteketea moto, ambapo amesema taarifa za awali zinaonesha moto huo umeathiri takribani vibanda 453.
-

Sheria ya Mtoto Na 21 ya mwaka 2009 nchini Tanzania kufanyiwa marekebisho kuakisi mazingira ya sasa.
Mchakato wa marekebisho ya Sheria hiyo unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Desemba, 2022.
-

CCM yawaonya wanaoneza fitina
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, amewaonya viongozi waliopewa dhamana na chama hicho, kuacha kueneza fitina na majungu dhidi ya wengine wakati wa uchaguzi wa ndani.
-

Watumishi wa Umma nchini Tanzania waongezewa posho za safari.
Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 27, 2022 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk Laurean Ndumbaro.
-

Waziri Majaliwa awataka wananchi wa Ngorongoro nchini Tanzania kutosikiliza maneno ya pembeni kwa kuwa Serikali haina nia mbaya.
Kadhalika alisema serikali inaendelea kuimarisha sekta ya mifugo ili kuhakikisha wafugaji wote nchini wanapata tija kupitia shughuli hiyo.
-

Polisi Tanzania yamshikilia mtuhumia wa ubakaji wa watoto watatu.
Mtuhumiwa anadaiwa kufanya ukatili huo Februari mwaka huu wakati watoto hao walipokuwa wameenda kuchanja kuni katika msitu wa Serikali wa Rwendimi







