Tanzania
-

Waandishi 60 wateuliwa kuwania tuzo za EJAT
Tuzo hizo zimepangwa kufanyika Mei 28, 2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Serena, Dar es Salaam
-

Waziri Nape asema hakuna wizi wa vifurushi vya simu unaofanywa na makampuni ya simu Tanzania
Waziri Nape ametoa kauli hiyo leo Mei 20,2022, alipokuwa akifanya majumuisho kwa wabunge waliochangia bajeti ya wizara yake, ambapo walilalimikia wizi unaofanywa na kampuni za simu katika huduma za bando na vifurushi.
-

Dk.Stergomena:Lengo la mafunzo ya JKT kwa vijana si kuwaajiri bali kuwapatia stadi za maisha
Dk. Stergomena ameyasema hayo leo wakati akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo leo ambapo amebainisha kuwa dhumuni la mafunzo yanayotolewa kwa vijana ni kuwapatia stadi za kazi na stadi za maisha, ili baada ya kumaliza muda…
-

Mwanamke afanya ngono na mtoto wa darasa la tatu nchini Tanzania
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi, amesema tukio hilo lilitokea Mei 8, 2022 Kijiji cha Lumuli kilichopo halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
-

Katambi: Kijana ambaye hajapata mkopo huenda ni Mkenya
Katambi amesema hayo leo Mei 18, 2022 bungeni mjini Dodoma, akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda, aliyehoji vijana kutopata ajira kwa zaidi ya miaka sita sasa pamoja na kwamba kuna mfumo wa…
-

Raia wawili wa Kenya wadakwa na polisi wa Tanzania wakisafirisha magunia 15 ya mirungi
Wakenya hao wanatuhumiwa kumiliki mirungi hiyo na kuisafirisha kwenda maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro.
-

Spika wa bunge la Tanzania, ayataka magari ya viongozi yawe yanazimwa kupunguza gharama za mafuta.
Dk Tulia amesema hayo leo bungeni jijini Dodoma huku akiwashauri viongozi wa Serikali nchi nzima isipokuwa wanaoruhusiwa kiitifaki, kufanya hivyo akisema kuwa utekelezaji wa agizo hilo utasaidia kubana matumizi ya mafuta ya Serikali.
-

EAC kusoma Bajeti kuu za serikali Juni 14.
Kutokana na mabadiliko hayo, baadhi ya Wizara zimepunguziwa siku za uwasilishaji wa bajeti zake kutoka siku mbili na sasa wabunge watachangia kwa siku moja tu.
-

Halima na wenzake wafungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA nchini Tanzania.
Tarehe 11 mwezi huu Baraza Kuu la CHADEMA lilitupilia mbali rufaa ya wabunge hao ambao walikuwa wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho, na hivyo kumlazimu Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwasilisha…
-

Wizara ya Maji Tanzania yaomba bajeti ya bilioni 709.36 kwa matumizi ya wizara hiyo
Jumla ya bajeti ya maendeleo ni Shilingi Billioni 657.8 ambapo kati ya fedha hizo, Shilingi Billioni 407.06 sawa na asilimia 61.87 ni fedha za ndani na Shilingi Billioni 250.8 sawa na asilimia 38.13 ni fedha…







