Tanzania

  • Katiba mpya na Tume huru yanogesha mkutano wa Baraza Kuu la Chadema Tanzania.

    Katiba mpya na Tume huru yanogesha mkutano wa Baraza Kuu la Chadema Tanzania.

    Katika mkutano huo ambao uliwakutanisha pia wanasiasa wa siasa za upinzani kutoka ndani na nje ya Tanzania, wanasiasa hao kwa nyakati tofauti wamesema kuwa hoja hizo zinapaswa kufanyika kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025.

  • Mbowe aionya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa Tanzania

    Mbowe aionya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa Tanzania

    Mwanasiasa mwiba wa siasa za upinzani nchini Tanzania, ameyasema hayo leo wakati akihutubia Baraza Kuu la Chadema, lililowakutanisha wajumbe takribani 400 jijini Dar es salaam.

  • Polisi wa Tanzania, watumia mabomu kuwatawanya wanafunzi waliofunga barabara mkoani Geita

    Polisi wa Tanzania, watumia mabomu kuwatawanya wanafunzi waliofunga barabara mkoani Geita

    Polisi mkoani Geita wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Buseresere waliofunga Barabara Kuu ya Bukoba-Mwanza baada ya gari la kampuni ya Fikoshi kumgonga mwanafunzi na kufariki dunia…

  • Tanzania: Wachoma gari la Hakimu kisha watokomea

    Tanzania: Wachoma gari la Hakimu kisha watokomea

    Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo watu wasiofahamika walichoma moto gari la Hakimu huyo ambaye anaishi kwenye nyumba za Mahakama

  • Mitaala 51 ya elimu yahakikiwa Tanzania

    Mitaala 51 ya elimu yahakikiwa Tanzania

    Serikali kupitia Baraza la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi, imehakiki mitaala 51 kati ya 150 iliyoandaliwa na vyuo vya elimu ya ufundi kwa lengo la kuhakikisha kuwa mafunzo yanayotolewa yanakidhi mahitaji ya…

  • Bilioni 100 zatolewa kukabiliana na upandaji bei wa Mafuta Tanzania

    Bilioni 100 zatolewa kukabiliana na upandaji bei wa Mafuta Tanzania

    Akiwasilisha taarifa ya hali ya mafuta bungeni, waziri Makamba amesema, ruzuku hiyo haita athiri miradi ya serikali inayoendelea na uamuzi huo ni hatua ya serikali ya muda mfupi kupunguza ongezeko la bei ya mafuta kabla…

  • Wabadhirifu MSD kukiona,Waziri Mkuu asema wachukuliwe hatua

    Wabadhirifu MSD kukiona,Waziri Mkuu asema wachukuliwe hatua

    Majaliwa amesema hoja zote zilizotolewa katika ripoti ya CAG lazima zifanyiwe kazi na tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanyia kazi hoja zote zilizotolewa kuhusu MSD.

  • Miili mingine yapatikana mto Mori

    Miili mingine yapatikana mto Mori

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesema kuwa waopoaji hivi sasa wanaendelea na utafutaji wa mwili mmoja ambo ni wa mtoto wa miaka mitano.

  • Bobi Wine ndani ya Baraza Kuu la Chadema

    Bobi Wine ndani ya Baraza Kuu la Chadema

    Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amethibitisha ujio wa Bob Wine leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kikao hicho, kitakachotanguliwa na kikao cha kamati kuu itakayoketi kesho…

  • Ndugai asema 2025 hatogombea tena ubunge

    Ndugai asema 2025 hatogombea tena ubunge

    Ndugai ambaye amekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha miaka 20 na kushika nafasi mbalimbali kama mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na baadaye Spika, ametangaza uamuzi huo leo jana Jumapili tarehe 8 Mei 2022.