Tanzania
-

Kikosi kazi cha Rais Samia kuanza kupokea maoni ya wadau leo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Dodoma na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kupitia kwa Katibu wa Kikosi Kazi hicho, Sisty Nyahoza, leo wadau watatu watatoa maoni yao katika ukumbi wa Adam Sapi…
-

Bolt huenda ikasitisha huduma zake Tanzania
Kampuni hiyo huenda ikasitisha huduma zake kutokana na agizo la hivi karibuni la kutozwa ada ya huduma ya 15%.
-

Ukaguzi wa vituo vya kutolea huduma za afya kuanza leo
Aprili 20 mwaka huu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi alisema ukaguzi huo pia utafanyika katika vituo binafsi vya afya.
-

Watuhimiwa kufanya utekaji na kuwabaka warembo
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jastin Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao na kuongeza kuwa kuna watuhumiwa zaidi wamekamatwa wakidaiwa kushirikiana na mtandao huo.
-

Sherehe za Muungano kufanyika tofauti
Maadhimisho hayo yatafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini humo kwa kufanyika uzinduzi wa andiko yaani kitabu cha historia ya Muungano pamoja na kongamano.
-

Bodi ya Parole yaridhia wafungwa 82 kuachiwa huru
Kabla ya wafungwa hao kuachiwa huru majina yao yanapelekwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kujiridhisha na kuidhinisha waachiwe huru au la.
-

Serikali yatoa maelekezo kuhusu zuio la bodaboda na bajaji kuingia mjini
Tangazo la kusitisha vyombo hivyo vya usafiri kuingia katikati ya Jiji lilitolewa jana Jumatano Aprili 20, 2022, ambapo utekelezaji wa agizo hilo ulipaswa kuanza kutekelezwa leo April 21.
-

Amuua mwenzake kisa kugombania dagaa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema chanzo cha tukio hilo ni ugomvi wa kugombania unga, dagaa pamoja na simu iliyopelekea wawili hao kupigana kwa kutumia mapanga.
-

Asilimia 63 ya madaktari hawafati miongozo iliyowekwa.
Mfumo wa Tehama ‘IT’ umeonyesha ni asilimia 37 pekee ya madaktari ambao wamekuwa wakiuliza wagonjwa wanaowatibu na kujaza historia zao huku wakiwapa maelezo mbalimbali muhimu ikiwamo kwanini wanawapima na umuhimu wa kutumia dawa.
-

Mashine za kukusanyia mapato hazionekani kwenye mifumo
Hayo yamo katika ripoti kuu ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2020/21.







