Tanzania
-

Kesi ya kusambaza picha za utupu yamuweka pabaya Mwijaku
Katika kesi hiyo inadaiwa, kati ya Septemba 17, 2019 na Oktoba 2019 jijini Dar Es salaam Mwijaku kwa kutumia mtandao wa Whatsupp alisambaza picha za utupu mtandaoni.
-

Bohari Kuu ya Dawa nchini Tanzania ilivyopiga fedha za Uviko-19
Fedha hizo zilipaswa kununua vifaa hivyo ambavyo vingesambazwa katika hospitali za mikoa, wilaya zanahati na vituo vya afya kote nchini
-

NCCR Mageuzi yaweka mgomo kushiriki vikao vya kikosi kazi
Chama hicho cha siasa za upinzania nchini Tanzania kimesema kushiriki mkutano huo ni kupoteza muda na kutumia vibaya rasilimali za Watanzania badala ya kujadili masuala muhimu ya uchumi kwa ajili ya wananchi
-

Panya Road wawa gumzo kila mahali, bunge laibua mbinu za kukabiliana nao
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imelitaka Jeshi la Polisi nchini Tanzania kuhakikisha linaweka mbinu mbadala ili kutokomeza vitendo vya uhalifu mitaani vinavyofanywa na kundi la Panya Road.
-

Madeleka akabiliwa na kesi ya kuchapisha habari za uongo
Kutokana na kesi hiyo, upande wa mashitaka umeahidi kuleta mashahidi saba na vielelezo vitatu katika kesi hiyo itakayoanza kusikilizwa Mei 18, 2022.
-

Serikali yaanza kutafuta suluhu ya kupanda kwa bei ya mafuta
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia.
-

Watuhumiwa wawili wa ugaidi na askari wawili wafariki kwenye ajali nchini Tanzania
Ajali hiyo ilihusisha gari namba T.691 DBQ Scania, likiwa na tela namba T.865 mali ya Kampuni ya Nyanza Bottling, likiwa linatokea Mwanza lililogongana na gari namba PT.3798 Toyota Landcruiser mali ya Jeshi la Polisi.
-

MCT, LHRC,: Katiba mpya isisubiri uchaguzi
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limesema Katiba mpya ni suala lenye utashi wa kisiasa hivyo mchakato wake unaweza kufanyika wakati wowote kwa kuwa ni hitaji la Watanzania wote na si vyama vya siasa pekee.
-

Mama amchoma mwanaye kwa maji ya moto kisa kula tambi bila ruhusa yake.
Chanzo cha tukio hilo ni mtoto huyo kuiba tambi ambazo ziliandaliwa kwa ajili ya chakula cha mchana, ndipo mama wa mtoto huyo alichukua hatua ya kumchoma kwa maji ya moto ambayo yalisababisha majeraha kwa mtoto
-

WHO,UNICEF YASEMA KUNA WASIWASI WA MLIPUKO WA UGONJWA WA SURUA
Taarifa ya UNICEF na WHO iliyotolewa jana jijini New York, nchini Marekani na Geneva, Uswisi imesema, ongezeko la idadi ya wagonjwa wa surua kwa mwezi Januari na Februari mwaka huu ni dalili inayotia shaka juu…







