Tanzania
-

CAG:Kuna upungufu wa watumishi wa umma 8,356 kwenye mashirika 29
Alitaja sababu za upungufu wa watumishi hao kuwa ni ucheleweshaji wa vibali vya kuajiri katika Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
-

Wasiojulikana wamuua kikongwe wa miaka 90 nchini Tanzania
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ally Makame amethibitisha tukio hilo na kusema upelelezi unaendelea ili watuhumiwa wakamatwe.
-

Mwili wa Padre aliyekutwa amefariki kwenye tanki kuzikwa Pugu
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa siku chache zilizopita na Chansela wa Kanisa Katoliki, Padre Vincent Mpwaji kesho kutakuwa na mkesha wa kumuombea Padre Kangwa katika Parokia ya Mbezi Mshikamano, Dar es Salaam.
-

Ripoti ya CAG yaonyesha dosari Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 CAG Charles Kichere amesema alipitia orodha iliyotolewa ya wanafunzi walio chini ya uhitaji ili kuthibitisha kama mikopo inatolewa kulingana na mahitaji na kubaini kuwapo kwa dosari katika…
-

Bibi amuua mjukuu wake wa siku moja kisa ugumu wa maisha
Kamanda wa Polisi wa Mkoa humo, James Manyama amesema mtuhumiwa alifanya tukio hilo Aprili 9, mwaka huu, saa tano usiku katika Kijiji cha Uvinza Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.
-

Uber yasitisha huduma zake Tanzania
Yasema itarudisha huduma endapo mazingira ya biashara nchini humo yatakuwa raifiki
-

Ndugai ashangiliwa kwa kishindo bungeni
Ndugai hakuwahi kuonekana katika shughuli yeyote rasmi ya Bunge, ikiwemo ziara na vikao vya kamati za bunge tangu ajiuzulu uspika.
-

Ripoti ya CAG yabaini uwepo wa dawa zilizokwisha muda wake kwenye hopsitali 15
Kwa mujibu wa CAG Kicehere hali hii inatokana na kupokea dawa kutoka kwa wafadhili na Bohari Kuu ya Dawa zenye muda mfupi wa matumizi
-

Treni ya umeme kutumia saa 6 Dar – Tabora
Treni zitakayotumia reli hiyo zitakuwa na mwendokasi wa kilomita 160 kwa saa ambapo zitatumia saa sita kutoka Dar es Salaam hadi Tabora kwa treni ya abiria huku za mizigo zikitembea kilometa 120 kwa saa.
-

Sita wafariki kwenye ajali Tanga
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema, ajali hiyo imetokea eneo la Kwamdulu ambapo gari lililohusika katika ajali hiyo ni aina ya Coastal lenye namba za usajili…







