Tanzania
-

Ahukumiwa kunyongwa kwa kuwaua kwa kukusuidia walinzi wawili
Katika kesi hiyo ya Jinai Namba 47 ya mwaka 2020, Haule alifanya tukio hilo Septemba 2015 kwa kuwapiga kichwani kwa kutumia sululu Paul Nduruma na Aloyce Patsango kwa madai walikuwa wakimnyanyasa katika shughuli zake za…
-

Ndugai ataka chanjo ya Ukimwi itengenezwe
Ndugai ameibuka na hoja hiyo katika uzinduzi wa chanjo ya mifugo ya ugonjwa wa homa ya sotoka uliofanyika katika Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma.
-

Meya ang’olewa madarakani akituhumiwa kushiriki sherehe za mashoga
Raibu ameondolewa madarakani leo baada ya kupigwa kura za siri katika baraza maalumu la madiwani ambapo kura za kumkataa zilikuwa 18 huku za kumkubali zikiwa 10.
-

Idadi ya Watanzania wanaojisadia vichakani yapungua
Imeelezwa kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 mwaka 2017 hadi kufikia asilimia 1.4 Desemba 2021.
-

Mbowe: Hatuwezi kuendelea kuwa taifa la kuoneana
Mbowe alitoa kauli hiyo April 10, 2022 wakati wa ziara yake katika jimbo la Kawe jijini Dar es salaam, ikiwa ni kampeni ya mguu kwa mguu
-

CCM kuwabana Mawaziri kuhusu hali ya maisha ya Watanzania
Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahman Kinana, Aprili 10, 2022, alipokuwa akizungumza na viongozi na baadhi ya wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwenye mkutano…
-

CCM yawaonya wanaotolea macho uchaguzi wa 2025
Chongolo amesema kumezuka tabia ya baadhi ya wanachama kufikiria zaidi Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa kutaka nafasi za ubunge na udiwani na kusema tabia hiyo inazorotesha shughuli za chama hicho.
-

Idadi ya Wafugaji jamii ya kimasai wanaohama kutoka Ngorongoro yatajwa kuongezeka
Idadi ya jamii ya wafugaji wanaohama kwa hiyari kutoka katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwenda katika Kijiji cha Msomera, Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga imetajwa kuongezeka siku hadi siku, tangu zoezi hilo lilipoanza.
-

Majaliwa aliomba bunge liidhinishe bajeti yake zaidi ya bilioni 148
Waziri Mkuu ameomba fedha hizo leo kwenye hotuba ya Maombi ya Makadilio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2022/23 katika mkutano wa bunge Jijini Dodoma.
-

Sekta ya michezo yatajwa kukua nchini Tanzania.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema sekta ya Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini humo imekuwa kwa kiasi kikubwa na imeanza kuleta tija kwa maisha ya Watanzania kutokana na miongozo thabiti inayotolewa na Serikali







