Tanzania
-

Mke na Mume wadaiwa kumuua mtoto wao wa miaka 8
Kwa mujibu wa Kamanda Mwampelwa amedai mama huyu alikuwa na desturi ya kumpiga mtoto huyo hadi kukimbia nyumba na kuhamia kwa majirani.
-

Watu tisa wafikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka 746
Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali, Faraji Nguka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Ritha Tarimo.
-

Malori nchini Tanzania sasa kuwekewa vidhibiti mwendo
Katika kuhakikisha hilo linatekelezwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni ametoa miezi sita kwa waliochezea mfumo huo wawe wamerekebisha ili kusiwe na kisingizio chochote baada ya muda huo kupita.
-

CAG Kichere kuanza ukaguzi wa fedha za COVID-19
CAG Kichere aliyasema hayo wakati anakabidhi ripoti yake ya ukaguzi ya mwaka wa fedha 2020/2021 kwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma jana, Machi 30,2022.
-

Wahamiaji haramu 55 watiwa mbaroni mkoani Katavi
Pia kati ya wahamiaji hao, saba bado wanafanyiwa uchunguzi uraia wao na kwamba wamekamatwa kupitia doria endelevu.
-

Marubani waliozuia kutokea kwa ajali ya ndege nchini Tanzania kupewa tuzo Maalum
Marubani hao ni wa Shirika la Ndege (ATCL), imeeleza kuwa walionesha ujasiri kwa kuzuia kutokea ya ajali ya ndege yao yenye namba TC 110 Airbus A 220 ikiwa na abiria 84.
-

Prof Ngowi na dereva wake kuagwa leo
Prof Ngowi na dereva wake walifariki dunia siku ya Jumatatu Machi 28,2022 kwa ajali ya gari iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani walipokuwa safarini kwenda mkoani Morogoro.
-

Waziri wa Afya nchini Tanzania asema huduma za afya katika hospitali za Serikali ni Mbovu.
Waziri huyo alitoa kauli hiyo jana jijini Dodoma nchini Tanzania wakati alipokuwa akifugua mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Wizara ya Afya nchini humo.
-

Serikali: Kuna ongezeko la dalili za homa, kifua, kukohoa mafua na kubanwa mbavu
Ongezeko hilo limekuwa likitokea katika kipindi cha mwishoni na mwanzoni mwa mwaka kwa miaka mitatu mfululizo ambapo imekuwa ikipungua mwaka hadi mwaka.
-

Mashirika 19 ya Umma yapata hati zenye mashaka
CAG Kichere ameyasema hayo leo wakati akiwasilisha ripoti ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2021 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.







