Tanzania
-

Mwenyekiti wa CWT Rombo auawa mwili wake watupwa barabarani
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 10 alfajiri eneo la Mrere Mashati,karibu na shule ya Sekondari Shauritanga ambapo mwili wa mwalimu Hiza umekutwa barabarani huku damu zikiwa zinachuruzika kwenye lami
-

Kanuni mpya ya kikokotoo kuleta neema kwa wastaafu Tanzania
Kikokotoo hiki pia kinaongeza pensheni ya mwezi kutoka asilimia 50 ya sasa hadi asilimia 66 kwa waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF ambao ni asilimia 19 ya wanachama wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii.
-

Mwanaume mmoja nchini Tanzania amemuua mkewe kwa kumkata sehemu za siri na kisha kumtoboa macho
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa wa mauaji hayo ametekeleza unyama huo kwa kumkata sehemu zake za siri na kuchukua kiungo hicho, akakata viganja vya mkono wa kulia, vidole viwili na kumtoboa macho mwenzi wake huyo.
-

Government: Four miners missing for weeks in Burkina Faso found dead
Six Burkinabe, a Zambian and a Tanzanian went missing in the shafts 700 metres underground.
-

Rais Samia: Kwa mwaka mmoja nimeonesha nguvu ya mwanamke
Rais Samia ameyasema hayo jana akiwa Accra Ghana, katika meza ya majadiliano ya viongozi mbalimbali kitaifa wa Afrika, katika mkutano ulioandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB).
-

Rais wa Tanzania atajwa kuwa ni miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi
Kwa mujibu wa jarida hilo, Rais Samia amekuwa chachu na ameleta mabadiliko makubwa kwa Tanzania tangu aingie madarakani Machi 2021.
-

Chama cha ADC kimesema hakiko tayari kuona Rais Samia anakashifiwa
Hamad alisema wanachama wa chama hicho wasiache kukikosoa kistaarabu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakapokosea na kwamba huo ndio uungwana.
-

Mlinzi mmoja nchini Tanzania amemuua raia kwa kumpiga risasi kisha yeye kutokomea
Mkazi wa kijiji cha Dulisi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, Hamisi Mayunga (27) amedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi kifuani na Mlinzi wa Kampuni ya Sam Security, Chacha Emmanuel, ambaye analinda ndani ya mgodi wa madini ya…
-

CHADEMA na safari ya maridhiano nchini Tanzania
Kauli hiyo imekuja wakati kukiwa na maoni tofauti kutoka kwa baadhi ya wanachama na wapenzi wa chama hicho wakihoji sababu ya chama hicho kufanya mazungumzo na CCM wakiongozwa na Rais Samia Ikulu ya Chamwino Dodoma…
-

Vimbwanga vya wabunge wa Tanzania,Wengine walia na wengine waruka sarakasi bungeni
Kizaazaa kiliibuka bungeni baada ya wabunge waliokuwa wakichangia kufanya matukio yasiyo ya kawaida kuonesha kusikitishwa na utekelezaji wa miradi.







