Tanzania
-

Tanzania yajipanga kuweka mfumo wa Mtuhumiwa kujidhamini mwenyewe
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wizara yake inakwenda kuufumua mfumo wa jinai, ili kuangalia namna ya kupunguza msongamano wa mahabusu gerezani.
-

TAKUKURU nchini Tanzania yamshikilia Muuguzi anaedaiwa kusafirisha kilo 174.77 za dawa za kulevya
Akizungumza na waadishi wa habar leo jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Florence Khambi, amesema kufuatia upekuzi uliofanyika nyumbani kwa mtuhumiwa, paketi 162 zenye unga uliodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya…
-

Waliojifanya maofisa wa Ikulu nchini Tanzania wakamatwa
Watuhumiwa hao ni Emmanuel John (38), mfanyabiashara na mkazi wa Dar es Salaam, Stanley George (34), mbeba mizigo na mkazi wa Temeke, Dar es Salaam pamoja na Mussa Nasoro (35) Dereva na Mkazi wa Mbagala…
-

Polisi nchini Tanzania imesema inachunguza kifo cha Msese aliyedaiwa kuuawa
Kutokana na hali hiyo, polisi imewataka ndugu wa marehemu kuwa watulivu wakati Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vikiendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
-

Watoto 12,131,049 wapatiwa chanjo ya Polio nchini Tanzania.
Waziri wa Afya nchini humo ,Ummy Mwalimu amesema Mei 18 , 2022, Wizara ya Afya ilizindua awamu ya pili ya kampeni ya kitaifa ya utoaji wa chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa Polio hapa…
-

Asilimia 51 ya bajeti ya Wizara ya Nishati kutumika kwenye mradi wa JNHPP
Mradi huo unaotarajiwa kuchangia MW 2,115 katika Gridi ya Taifa baada ya kukamilika, unagharimu shilingi trilioni 6.55 na unatarajiwa kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini.
-

Sabaya amwaga chozi Mahakamani, asema hana imani na Mwendesha mashtaka
Kwa upande wake Sabaya aliyeomba kuongea licha ya Hakimu kueleza kuwa maombi yake hayata zingatiwa kwa sasa alieleza mahakamani hapo kuwa hana imani na Mwendesha mashtaka wa serikali Tumaini Kweka.
-

Waziri Mkuu wa Tanzania azitaka Halmashauri kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato.
Majaliwa amesema ajenda ya ukusanyaji mapato iwe ya kudumu na iongezeke hadi kufikia shilingi trilioni 2 kutoka makadirio ya sasa mwaka wa fedha 2022/2023.
-

Serikali ya Zanzibar imesema itafidia gharama za chakula na mafuta zilizochangiwa na vita vya Urusi
Kwa mujibu wa Dk. Mwinyi, serikali ya Zanzibar inatoa shilingi bilioni 3 kila mwezi kupunguza ongezeko katika bei ya mafuta ya petroli, dizeli na yale ya taa.
-

Ahakumiwa kunyongwa kwa kumuua mama yake mzazi
Mwanasheria Temba alidai mshtakiwa Mwinga alichukua uamuzi wa kumshambulia mama yake kwa kumniga shingo na kumnyonga hadi kufa.







