Tanzania
-

Rais Samia:Sekta binafsi ifanye biashara serikali itabaki kama msimamizi
Mkuu huyo wa nchi yupo ziarani nchini Oman kwa mwaliko wa Mfalme, Haitham Bin Tariq kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kibiashara baina ya nchi hizo mbili zenye historia ya muda mrefu.
-

Tanzania kuwakopesha wavuvi boti za kuvulia samaki
Wizara ya Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania imesema mwaka wa fedha 2022/2023, serikali ya nchi hiyo ina mpango wa kununua boti 320 za uvuvi kwa ajili ya kukopesha wavuvi wadogo na wa kati ili waboreshe…
-

Kutoka Panya Road wa Dar hadi Panya Karoa wa Dodoma
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nchini Tanzaniaimeahidi kuangamiza vikundi vya uhalifu vilivyoibuka katika Kata ya Makulu, jijini Dodoma vinavyojiita Panya Karoa.
-

Kesi ya akina Mdee na wenzake kuunguruma leo
Mdee na wenzake wamekwenda mahakamani kupinga uamuzi wa chama hicho kwa kuwavua uanachama na wamefungua maombi Mahakama Kuu, dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema, wakiomba kibali cha kufungua shauri la mapitio ya kuhusu uamuzi…
-

Waliosambaza taarifa kuhusu bei ya umeme nchini Tanzania kupanda, kukamatwa
“Nimeagiza hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa kila aliyehusika na kueneza uongo kuwa TANESCO imepandisha bei ya umeme wakati wakijua fika sio kweli. Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la…
-

Sabaya na wenzake wavuka kiunzi kwenye kesi ya pili iliokuwa ikiwakabili
Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, Patricia Kisinda, leo Ijumaa Juni 10, 2022 amewaachia huru washitakiwa hao baada ya kubaini kuwa ushahidi wa mashahidi 13 upande Jamhuri ulikuwa ukikinzana na pia hati…
-

Hukumu katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Sabaya na wenzake kutolewa leo
Awali, Mei 31 mwaka huu Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Patricia Kisinda aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, alipanga kutoa hukumu lakini ilishindikana kutokana na kudaiwa kuwa nje ya kituo cha kazi kwa majukumu mengine.
-

CDF Mabeyo ataka hekma itumike kutatua migogoro ya ardhi baina ya wananchi na kambi za majeshi.
Jenerali Mabeyo alisema hayo juzi mkoani Morogoro wakati wa ziara yake ya kuaga vikosi vya ulinzi na usalama, pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Morogoro.
-

Nchi 5 zachaguliwa kuhudumu katika Baraza la Usalama la UN
Nchi 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa wameshiriki katika uchaguzi huo uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani ndani ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo nchi ya Msumbiji…
-

Polisi kuchunguza kifo cha mwanafunzi aliyejinyonga kwa kutumia Tai
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe alisema tukio hilo ni la Juni 4, mwaka huu na kijana huyo alikutwa amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali na tai ya shule.







