Tanzania
-

Wanawake vinara wa matumizi ya dawa za kulevya jijini Mwanza
Alisema idadi ya wanawake waliokamatwa katika kipindi kama hicho, mwaka huu ni 22 wakati mwaka jana walikuwa 10.
-

Ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka mwanae wa miaka 6.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mwandamizi Emmy Msangalufu, amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia ya kutenda kosa hilo Novemba 19, 2020 nyumbani kwake alipokuwa akiishi na mke wake ambaye alikuwa mgonjwa.
-

Simbachawene: Serikali haitarudisha makao yake makuu jijini Dar es salaam.
Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu George Simbachawene ambaye amesema kuwa, ziko taarifa za kwamba Rais anarudisha tena makao makuu yalikokuwa.
-

Tanzania accuses Kenyan Maasai of backing opponents to wildlife protection area
Home Affairs Minister Hamad Masauni last week asked for stern measures to curb an “influx of illegal immigrants, most of whom drove their flocks of cattle, goats and sheep into Loliondo Game Controlled Area”.
-

Serikali: Haki na Sheria za Kimataifa zmezingatiwa kwa wananchi wanaoishi Ngorongoro na Loliondo
“Serikali imekuja na mpango wa kulinda eneo la Ngorongoro, imechukua miaka 20 kuandaa na kuratibu mpango huu, ambao unatekelezwa sasa na hakuna uhamishaji wa nguvu unaofanywa kwa wananchi kama inavyodaiwa, wananchi husika wameshirikishwa vya kutosha…
-

Wasanii wa Hip Hop kutoka nchi 10 kukutana kwenye Tamasha la Hip Hop asili
Tamasha hilo la Hip Hop asili litafanyika kwa muda wa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 23 hadi 25 mwezi huu.
-

Kizimbani kwa kukutwa na chuchu za mwanamke
Anadaiwa kukutwa akimiliki viungo vya binadamu ambavyo ni sehemu za siri za mwanamke tano, mafuvu mawili ya binadamu na chuchu tano za mwanamke.
-

Polisi jijini Mwanza yakamata kilo 561 za mirungi
Akizungumza na waaandishi wa habari leo Kamanda wa Polisi mkoani humo, Ramadhani Ng’anzi amesema gari hilo mali ya Malema Maswi lilikamatwa Juni 8, 2022 Saa 5: 20 usiku katika maeneo ya Itumbili wilayani Magu mkoani…
-

Mwanafunzi auawa, mwili wake watupwa pembeni ya mto nchini Tanzania
Tukio la mtoto huyo kuuawa ni tukio la tatu ndani ya wiki mbili ambapo watoto wengine wawili mmoja akiwa na miaka miwili aliuawa kwa kukatwa shingo na mwingine wa miaka saba inadaiwa alilawitiwa na kubakwa…
-

Miaka 25 jela kwa kukutwa na ngozi mbili za chui
Awali mtuhumiwa aliomba Mahakama impunguzie adhabu kwasababu ni kosa lake la kwanza na amefanyiwa upasuaji hivyo hawezi kufanya kazi ngumu na ana familia kubwa yenye watoto sita na wote wanamtegemea lakini hata hivyo Mahakama imemuhukumu…







