WHO: Janga la UVIKO 19 liliua milioni 13 hadi 17 kati ya 2020-2021
Nchi za kipato cha juu zilichangia asilimia 15 ya vifo,
Mataifa ya kipato cha kati yalichangia vifo asilimia 28; mataifa ya kipato cha chini asilimia 53; na nchi zenye kipato cha chini asilimia nne.