Heineken, Universal Music kati ya kampuni za hivi punde kuondoka Urusi
Kampuni nyingine McDonald’s, Coca-Cola na Starbucks waliondoa biashara zao Urusi
Kampuni nyingine McDonald’s, Coca-Cola na Starbucks waliondoa biashara zao Urusi
Akitoa taarifa hiyo leo, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhamiaji Mkoani Iringa, Agnes Luziga amesema raia hao wamekamatwa jana March 8, 2022 majira ya saa moja jioni.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano Serikalini, Emmanuel Buhohela imesema kwa sasa hakuna mwanafunzi kutoka Tanzania aliyebaki kwenye Chuo cha Taifa cha Sumy kilichopo nchini Ukraine baada ya kundi hilo la mwisho kufanikiwa kuondoka.
Urusi na Ukraine zimekubaliana kusitisha mapigano kwa siku moja Jumatano katika maeneo ya uokoaji ili kuruhusu raia kutoroka mapigano.
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022, Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini Kenya.
“Kushindwa kwa usambazaji sawa wa chanjo ni matokeo ya moja kwa moja ya maamuzi ya kisera na kibajeti ambayo yanatanguliza afya ya watu katika nchi tajiri kuliko afya ya watu wa nchi maskini,”alisema Guterres.
Nakala ya Hukumu ya rufaa hiyo imepatikana leo 2022,ambayo imetolewa na Jaji Safina Simfukwe wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, ambaye alizitupa sababu 10 za rufaa za wafungwa hao waliokuwa wakitetewa na wakili Median Mwale.
Takriban watu 85 wameuawa na mamia kujeruhiwa na vikosi vya usalama wakati wa miezi minne ya maandamano ya kudai utawala wa kiraia na haki
Zaidi ya shilingi Trilioni 25 zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kwa vipande vya Dar es Salaam Kigoma na Dar es Salaam pamoja Mwanza
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simoni Maigwa amesema tukio hilo limetokea Februari 24, 2022