Mahakama ya Upeo Kenya yatupilia mbali mpango wa BBI uliolenga kufanya marekebisho ya katiba
Mahakama ya Upeo nchini Kenya iliamua Alhamisi kwamba pendekezo lenye utata la Rais Uhuru Kenyatta kufanya marekebisho ya katiba si halali
Mahakama ya Upeo nchini Kenya iliamua Alhamisi kwamba pendekezo lenye utata la Rais Uhuru Kenyatta kufanya marekebisho ya katiba si halali
Kikao hicho kilichoketi chini ya mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan kimempitisha Kinana kuchukua nafasi ya Philip Mangula ambaye leo ameandika barua ya kuachia nafasi hiyo
Watuhumiwa wanane ambao ni wafuasi wa Zumaridi wamepata dhamana baada ya kukataa kupatiwa dhamana siku ya kwanza kesi hiyo ilipotajwa, kwa madai ya kukaa na mhubiri wao pamoja hadi atoke.
Kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria ni kitovu cha magenge ya wahalifu wenye silaha kali ambao huvamia vijiji, na kuua na kuwateka nyara wakazi baada ya kupora na kuchoma nyumba zao.
Hakimu Mkazi Mwandamizi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi hiyo, ameitaja tarehe hiyo leo, na kwamba kwa kuwa watuhumiwa hao wapo mahabusu kesi hiyo itatajwa Aprili 13, 2022 kabla ya kutolewa hukumu Mei 31.
Kwa mujibu wa Kamanda Mwampelwa amedai mama huyu alikuwa na desturi ya kumpiga mtoto huyo hadi kukimbia nyumba na kuhamia kwa majirani.
Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali, Faraji Nguka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Ritha Tarimo.
Hili ni Kombe la Dunia la kwanza kufanyika Mashariki ya Kati na litaanza Novemba 21 na fainali inatarajiwa kufanyika Desemba 18.
Katika kuhakikisha hilo linatekelezwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni ametoa miezi sita kwa waliochezea mfumo huo wawe wamerekebisha ili kusiwe na kisingizio chochote baada ya muda huo kupita.