Vita vya Urusi na Ukraine: Matukio ya hivi punde
Umoja wa Mataifa unasema watu milioni 1.7 wameikimbia Ukraine, na kuufanya mzozo huu kuwa mkubwa zaidi na unaokuwa kwa kasi zaidi tangu Vita vya Pili vya Dunia.
Umoja wa Mataifa unasema watu milioni 1.7 wameikimbia Ukraine, na kuufanya mzozo huu kuwa mkubwa zaidi na unaokuwa kwa kasi zaidi tangu Vita vya Pili vya Dunia.
Askofu Bagonza ameyasema hayo leo kwenye sherehe ya wanawake wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chama cha CHADEMA, ambapo waliungana na wanawake wengine duniani katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.
Jengo hilo la orofa nne liliporomoka usiku wa Jumapili katika wilaya ya Angre, ambako kumeshuhudiwa ujenzi wa majumba mengi ya biashara na makazi katika miaka ya hivi karibuni.
Moderna ilisema ilitarajia kuwekeza dola milioni 500 katika kituo hicho kipya, ambacho kitatoa chanjo kwa bara la watu bilioni 1.3.
Siku ya wanawake duniani hujulikana pia kama IWD kwa ufupi, ilikua inatokana na vuguvugu la wafanyakazi na kuwa tukio la kila mwaka linalotambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN).
Ugonjwa huo huenezwa na mbu wale wale wanaoneza magonjwa ya Zika na dengue.
Kamanda wa Trafiki Nairobi Joshua Omukata alisema washukiwa hao 16 wanazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Parklands huku uchunguzi kuhusu kisa hicho ukiendelea.
Vladamir Putin ameahidi atatimiza lengo lake kwa njia yoyote ile iwe “kwa mazungumzo au kupitia vita”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema kuwa tukio hilo limetokea Jumamosi Machi 05, 2022 wilayani Manyoni, ambapo siku ya tukio mfanyabiashara huyo alienda mnadani kuuza gari yake shilingi milioni 15.
Katibu Mkuu wa Elimu, Julius Jwan ambaye alizungumza baada ya kushuhudia kufunguliwa na kusambazwa kwa mtihani huo unaoanza leo nchini humo, kutoka kaunti ndogo ya Kisii ya Kati hadi vituo vya mitihani.