March 2022
-

Taifa Stars kuminyana na Sudan leo
Timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo itashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kuikabili Sudan, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopo kwenye kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Soka,…
-

Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich adaiwa kuwekewa sumu katika mazungumzo ya amani
Bilionea huyo alionyesha dalili zikiwemo macho mekundu na kuchubuka ngozi baada ya mazungumzo ya amani mjini Kyiv.
-

Wakuu wa EAC kujadili ripoti ya uanachama wa DRC
Kwa mujibu wa taarifa ya Sekretarieti ya EAC, Mkutano huo umetanguliwa na Mkutano Maalumu wa 48 wa Baraza la Mawaziri wa EAC, uliofanyika Ijumaa Machi 25, 2022 kujadili ajenda na programu ya Mkutano wa 19…
-

Vikongwe watatu wauawa kwa imani za kishirikina.
Kamanda wa Polisi mkoani Singida , Kamishna Msaidizi Stella Mutabihirwa aliwaambia waandishi wa habari kuwa tukio hilo limetokea Machi 27, mwaka huu majira ya saa 11.00 jioni.
-

Watoto 10 walawitiwa na kubakwa katika kipindi cha miezi mitatu mkoani Shinyanga.
Waliofanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wanakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka sita hadi 12 wa jinsia ya kike na walikutwa na mkasa huo baada ya kuagizwa na wazazi wao dukani nyakati za usiku.
-

CUF wapinga suala la Katiba Mpya kushughulikiwa baada ya uchaguzi wa 2025
Baraza hilo linasikitishwa na hatua zilizochukuliwa na kikosi kazi hicho, na kwamba ni vyema serikali na wadau wote wajue CUF na wajumbe wote wa mkutano huo walitamani katiba mpya ipatikane haraka.
-

Watu wenye silaha washambulia treni ya abiria kaskazini magharibi mwa Nigeria
Hili lilikuwa ni shambulizi la hivi punde zaidi lililohusishwa na magenge ya wahalifu wenye silaha, ambao wanalaumiwa kwa kuongezeka kwa ghasia na utekaji nyara mkubwa kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-

Apandishwa kizimbani kwa kumdhalilisha mwanafuzi wa darasa la pili.
Mzee huyo anadaiwa kumvua nguo kisha kumwingizia kidole sehemu za siri binti wa darasa la pili mjini Igunga
-

Kenya yawaachilia waendesha bodaboda 16 waliokuwa wameshikiliwa kwa kumnyanyasa kijinsia dereva mwanamke
Mahakama ya Nairobi iliamuru waachiliwe huru baada ya upande wa mashtaka kusema hawakuwa na ushahidi wa kutosha kuwahusisha waendeshaji bodaboda hao na uhalifu.
-

“Sanaa yaiga maisha,” Will Smith baada ya kumzaba kofi mcheshi Chris Rock wakati wa tuzo za Oscars
Rock alifanya mzaha akilinganisha nywele za Jada Pinkett Smith alizonyoa na mwonekano wa Demi Moore katika filamu ‘GI Jane’







