Wafanyabiashara watatu wapandishwa kizimbani kwa kuisababishia TRA hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 10.5
Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali wa TRA, Medalakini Godwini alidai watatu hao walitenda makosa hayo kati ya Januari 2018 na Juni 15,2022 jijini Dar es Salaam.