Bilioni 17 zatolewa kuimarisha huduma ya mama na mtoto nchini Tanzania
Benki ya Dunia imetoa msaada wa shilingi bilioni 17 kwa serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kuimarisha huduma ya mama na mtoto.
Benki ya Dunia imetoa msaada wa shilingi bilioni 17 kwa serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kuimarisha huduma ya mama na mtoto.
The Supreme Court of Kenya will once again make a decision on the credibility of this year’s presidential election following presidential results dispute
Idara ya usalama ya FSB ya Urusi leo imesema kwamba Ukraine ndiyo iliyohusika na shambulio la bomu kwenye gari katika viunga vya mji wa Moscow na kumuua binti wa mwana itikadi kali wa Urusi Alexander Dugin.
Utekaji nyara unaofanywa na magenge ya wahalifu hutokea mara kwa mara katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi barani Afrika, lakini katika wiki za hivi karibuni waumini wa makanisa ya Kikristo wamezidi kulengwa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtoto wa Mrema, Michael Mrema Maziko hayo yatatanguliwa na ibada ya mazishi siku ya Jumatano itakayofanyika katika kanisa Katoliki Parokia ya Salasala kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro.
Wananchi wengi wa Angola wamechoshwa na chama ambacho kimeshika madaraka tangu nchi hiyo ilipojinyakulia uhuru kutoka kwa wakoloni wa Ureno mwaka 1975.
Kulingana na wanafamilia walionukuliwa na vyombo vya habari vya Urusi, Dugin mfuasi mkubwa wa mashambulizi ya Kremlin nchini Ukraine — ndiye aliyelengwa na mlipuko huo kwani binti yake aliazima gari lake dakika za mwisho.
Mrema ambaye hivi sasa hayupo katika uso wa dunia kufuati kifo chake kilichotokea Agosti 21,2022 katika hospitali ya Taifa Muhimbili nchini Tanzania alipokuwa amelazwa akipokea matibabu atakumbukwa kwa mengi hasa katika nguvu yake ya kujenga hoja za kisiasa dhidi ya watawala wa nchi.