Kuchengo: Kuna dodoso maalumu litakalotumika kwa kaya zisizokuwepo nyumbani 

Kupitia dodoso hilo karani utaweza kufuatilia tarifa za kaya kwa ukaribu zaidi

0

Mratibu wa zoezi la sensa kitaifa Seif Kuchengo anasema kuwa zoezi hilo hilo linaendelea vizuri ambapo amesema kuwa kuna dodoso maalumu ambalo linatutumika kwa kaya ambazo wahusika hawatokuwa nyumbani kipindi makarani watakapopita

Kupitia dodoso hilo karani utaweza kufuatilia tarifa za kaya kwa ukaribu zaidi

Pia ametoa wito kwa wanaoiba vifaa vya kutendea kazi za sensa waache mara moja kwa kuwa vifaa hivyo ni mali ya serikali na kwamba hatua kali zitachukuliwa kwa watakao bainika kuiba vifaa hivyo.

Kwa mujibu wa  Kuchengo,  siku ya kwanza ya sensa wamehesabu kwa asilimia 15.45,ambapo kaya zilizohesabiwa ni milioni 2.35, watu milioni 10.26 na katika idadi hiyo wanaume ni asilimia 48.3 na wanawake ni asilimia 51.7

.

In this article

East Africa Premier News Source with Top Stories, Special Features and more.
Uncensored & Undaunted