Hivi ndivyo Mwanaharakati Maria Sarungi alivyotekwa nchini Kenya
Hii si mara ya kwanza Maria kufatiliwa na watu wanaodaiwa kuwa ni watekaji ambapo wote waliojaribu kumteka wanahusishwa na mamlaka.
Hii si mara ya kwanza Maria kufatiliwa na watu wanaodaiwa kuwa ni watekaji ambapo wote waliojaribu kumteka wanahusishwa na mamlaka.
Slaa alikamatwa jana usiku nyumbani kwake Mbweni na mpaka sasa Jeshi hilo halijaweka wazi tuhuma zinazomkabili mwanasiasa huyo.
Vikosi vya usalama vilizuia wafuasi wake kufika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo kumlaki Venancio Mondlane alipoingia, ambapo mtu mmoja aliuawa kwa kupigwa risasi na kujeruhiwa kwenye moja ya vizuizi.
Aidan Eyakuze ni mtaalamu aliyejitolea katika kupigania mabadiliko ya kijamii kupitia uwazi na ushiriki wa wananchi katika masuala ya kisiasa na utawala. Kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa OGP, Aidan alikuwa mkurugenzi wa shirika la Twaweza kwa kipindi cha miaka takribani 10
Wapiganaji wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, waliteka mji wa Masisi, mji muhimu katika kanda ya madini ya DRC, siku ya Jumamosi.
Mahakama ya Juu nchini Msumbiji ilithibitisha ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa Oktoba uliozozaniwa, baada ya madai ya ulaghai kusababisha machafuko ya mtaani yaliyochukua wiki kadhaa na kusababisha vifo.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, amefika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizopo Mikocheni jijini Dar es salaam na kuchukua rasmi fomu ya kugombea nafasi hiyo.
Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, anakuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hii tajiri kwa madini, ambayo imekuwa ikiongozwa na SWAPO tangu uhuru kutoka Afrika Kusini ya ubaguzi wa rangi mwaka 1990.
Amesema tume moja itachunguza na kutoa mapendekezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro na nyingine itaangalia utekelezaji zoezi zima la uhamiaji kwa hiari kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.
Taarifa hiyo ya Polisi iliyotolewa leo Jumatatu, Desemba 2, 2024 na msemaji wake, David Misime imeeleza baada ya kutelekezwa katika fukwe hizo, aliomba msaada wa bodaboda kumfikisha katika ofisi za chama chake Magomeni, Dar es Salaam.