Asia Gamba
-

Mashauri kushughulikiwa saa 24 kupunguza msongamano wa kesi.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Kitengo cha Maboresho ya Mahakama, Dk. Angelo Rumisha wakati Benki ya Dunia ilipotembelea banda la mahakama katika maonesho ya 46 ya Sabasaba, Dar es Salaam.
-

Bei ya mafuta yapanda nchini Ethiopia huku ruzuku zikipungua
Bei ya petroli kwenye pampu ilipanda karibu asilimia 30 hadi 48.83 huku dizeli ikipanda karibu asilimia 40 hadi 49.02 chini ya sheria mpya ya bei ambayo itaanza Agosti 6.
-

Sri Lanka yaiomba Urusi kutoa mafuta na kuanza tena safari za ndege za watalii kusaidia nchi hiyo.
Taifa hilo la kisiwa limekumbwa na ukosefu wa umeme kwa miezi kadhaa, mfumuko wa bei uliokithiri na uhaba mkubwa wa chakula na petroli baada ya kukosa fedha za kigeni kufadhili uagizaji bidhaa kutoka nje.
-

Aliyeua watu sita wa familia moja akamatwa mkoani Kigoma
Akitoa taarifa hiyo leo, Julai 6, 2022, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi nchini, Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limejiridhisha bila kuona shaka kuwa mtu huyo ndiye amefanya mauaji peke yake.
-

Vijana 21 waliofariki kwenye mkanyagano nchini Afrika Kusini kuagwa leo
Rais Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuhutubia ibada ya kumbukumbu ya wahasiriwa katika uwanja wa michezo katika kitongoji cha Scenery Park katika jiji la pwani la London Mashariki.
-

Kiswahili sasa rasmi nchini Uganda
Kiswahili, ambacho asili yake ni Afrika Mashariki, ni mojawapo ya lugha 10 zinazozungumzwa na watu wengi zaidi duniani ikiwa na wazungumzaji takriban milioni 200.
-

Msafara wa Rais wa Nigeria washambuliwa na watu wasiojulikana.
Shambulio hilo linadhihirisha kuwa hali ya usalama nchini Nigeria ni mbaya kutokana na makundi ya uhalifu yanazuka kila uchwao
-

Utafiti: Takriban thuluthi moja ya wanawake wote katika nchi zinazoendelea huanza kuzaa wakiwa na umri wa miaka 19 na kushuka chini ya umri huo.
Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti huo baada ya kupata mtoto wao wa kwanza, kuongeza idadi ya watoto kwa wasichana vigori imekuwa ni kawaida.
-

Moto wateketeza bweni la shule ya msingi ya wavulana Chalinze
Akizungumza shuleni hapo alipotembelea shule hiyo kutoa pole na kujionea madhara ya moto huo, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge alisema tukio lilitokea alfajiri, wakati wanafunzi hao wakiwa kwenye ibada msikitini.
-

Bei mpya ya mafuta kuanza kutumika leo huku ikiendelea kupanda
Katika taarifa iliyotolewa jana Jumanne Julai 5, 2022 na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), bei ya rejareja jijini Dar es Salaam itakuwa shilingi 3,220 kwa lita moja ya petroli na shilingi 3,143…







