Asia Gamba
-

Pacha mmoja aliyetanganishwa afariki dunia
Taarifa iliyotolewa na Hospitali hiyo leo Julai 12, 2022 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema ilibadilika ghafla akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).
-

Mkurugenzi Dar asimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa fedha.
Watumishi hao wamesimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za serikali zaidi ya shilingi bilioni 10 zilizokusanywa na hazikuwasilishwa benki kama sheria inavyoelekeza.
-

Mfalme Zumaridi amkataa hakimu
Katika kesi hiyo Mfalme Zumaridi na wenzake nane wanakabiliwa na shtaka la kushambulia na kumsababishia majeraha Ofisa wa Jeshi la Polisi na kumzuia Ofisa Ustawi wa Jamii kutekeleza majukumu yake.
-

Rais wa Sri Lanka huenda akakimbilia uhamishoni
Hakukuwa na taarifa rasmi kutoka ofisi ya rais kuhusu aliko, lakini ripoti kadhaa za vyombo vya habari zilikisia kwamba alikuwa anatazamiwa kuondoka kuelekea Dubai
-

Pesa za Rais wa Sri Lanka kukabidhiwa mahakamni leo
Waandamanaji waligundua rupia milioni 17.85 (kama dola 50,000) katika noti mpya lakini wakazikabidhi kwa polisi kufuatia shambulio la Jumamosi la Ikulu ya Rais.
-

Aliyetumika kufanya mauaji kwakukodiwa nchini Tanzania naye auawa.
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa anatafutwa na polisi kwa muda mrefu kwa tuhuma za kukata mapanga watu maeneo tofauti.
-

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya ajiteka nyara ili wazazi wake wamtumie pesa
Kwa mujibu wa BBC Edwin Kamau (23), anatuhumiwa “kutoweka” siku ya Jumapili na kumpigia simu mama yake siku chache baadaye kuomba fidia ya Ksh 70,000 (Tsh 1,380,000).
-

Waziri Mkuu wa zamani wa Japan Abe amefariki dunia akiwa hospitali baada ya kupigwa risasi.
Abe amefariki baada ya kupoteza damu, licha ya kuongezewa damu kwa wingi
-

Uamuzi kesi ya kina Mdee na wenzake kutolewa leo.
Mdee na wenzake waliwasilisha maombi hayo Mei 13, mwaka huu wakiomba mahakama iwapatie kibali cha kufungua kesi ya mapitio ya kimahakama dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chadema, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na…
-

Kenya yafuta kesi ya ufisadi dhidi ya kinara wa soka Nick Mwendwa
Mwendwa alikamatwa Novemba baada ya serikali ya Kenya kuvunja Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) na kuunda kamati ya muda ya kusimamia soka kwa madai ya ubadhirifu wa kifedha wakati wa uongozi wake.







