Asia Gamba
-

Jenerali Mabeyo: Nimetoka jeshini, moyo wangu bado ni jeshi
Mabeyo ametoa kauli hiyo katika hafla ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 15 Julai 2022, ikiwa ni wiki kadhaa tangu astaafu jeshi tarehe 30 Juni 2022.
-

Tanzania yapokea chanjo nyingine za UVIKO-19
Chanjo hizo zinapokelewa wakati mpaka kufikia Julai 12, 2022 Watanzania 10,511,804 walikuwa wamekamilisha dozi ya Uviko-19 huku Tanzania ikiwa imepokea jumla ya dozi 21,226,520.
-

Nape:Mapitio ya Sheria,Sera za Habari yanaendelea.
Amesema ili kuhakikisha mazingira hayo yanaimarika, tayari mchakato wa kupitia Sheria, Kanuni na Sera ya Habari umeanza na unaendelea vizuri.
-

Jaji Mkuu: Tumieni usuluhishi kupunguza migogoro
Alitaka watumishi wa kituo hicho kupatiwa mafunzo ili kuweza kuongeza uelewa zaidi juu ya suala hilo, ambapo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapher Siyani aliahidi kulifanyia kazi.
-

Ugonjwa wa ajabu waua watu watatu kusini mwa mikoa ya Tanzania
Taarifa hiyo inakuja siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumzia ugonjwa huo alipokuwa akifungua Mkutano mkuu wa 20 wa Shirikisho la mabaraza ya maaskofu wa Kanisa Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) jijini…
-

Baadhi ya mikoa kukosa umeme kwa zaidi ya saa 8
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo imesema kuwa, upungufu huo umesababisha jumla ya megawati 91 kutokua kwenye mfumo wa usafirishaji umeme hivyo baadhi ya maeneo yatakosa nishati hiyo kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 12 jiioni.
-

Sri Lanka yatangaza hali ya hatari, Rais akimbia nchi
Polisi walisema pia walikuwa wakiweka amri ya kutotoka nje kwa muda usiojulikana katika Mkoa wa Magharibi, unaojumuisha mji mkuu Colombo, ili kuzuia maandamano yanayokua baada ya Rajapaksa kuruka hadi Maldives kwa ndege ya kijeshi.
-

NEC/ZEC: Changamoto zinzotokea wakati wa uchaguzi zinachangiwa na vyama vya siasa
Aidha, NEC na ZEC zimesema zipo tayari kupokea mabadiliko ya kisheria ambayo yatapendekezwa katika kuzifanya taasisi hizo kuepushwa na malalamiko.
-

Watu watano wafariki kwenye ajali mkoani Simiyu
Ajali hiyo ilihusisha magari madogo mawili ya abiria aina ya Toyota pro box na Toyota wish ambayo yanayofanya safari zake kati ya mji wa Bariadi na Lamadi wilayani Busega ambayo yaligongana uso kwa uso.
-

Ugonjwa wa ajabu waibuka mikoa ya kusini mwa Tanzania
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema katika mikoa ya kusini mwa Tanzania kumeibuka ugonjwa wa ajabu, ambapo watu wengi wanavuja damu puani mfululizo na kuanguka.







